Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNipo lupaso Mtwara
Niliporud ofisin nakuta barua ya kuombwa msamaha WAKATI ndio mkosaji
Waganga wapo jamaniii
huyu ananifaa nipe namba yake ya simuSawa
Kasulu Hao Ukifika Wapo Tele
Kuna Police Alichukua Tshs 30000/= Kama Notification Ya Mtu Aliyebeba Mgonjwa Kumpeleka HOSPITAL Wakiwa Hajavaa Helmet
Pesa Iliyolipwa Ndiyo Ilikuwa Itumike Kumtibu Mgonjwa
Police Alipigwa Kimbora Kila Akivaa Nguo Za Police Anawashwa Mwili Wote Akivua Anakuwa Poa
Mkuuhuyu ananifaa nipe namba yake ya simu
@MshanaJr unatafutwa huku wewe ndiye uliyebobea kwa uloziWakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika)
Natanguliza Shukrani
Hio dawa vipi wangeitumia kwa huyo mgonjwa wao ili asiugue ?Sawa
Kasulu Hao Ukifika Wapo Tele
Kuna Police Alichukua Tshs 30000/= Kama Notification Ya Mtu Aliyebeba Mgonjwa Kumpeleka HOSPITAL Wakiwa Hajavaa Helmet
Pesa Iliyolipwa Ndiyo Ilikuwa Itumike Kumtibu Mgonjwa
Police Alipigwa Kimbora Kila Akivaa Nguo Za Police Anawashwa Mwili Wote Akivua Anakuwa Poa
Sasa unashindwa vipi kuwapata kwa ujuzi wako mpaka upewe au dawa zako zipo specific kudhuru wezi pekee ?Mm naweza hiyo kazi ila upo tayari kunipa mkeo au dada yako ambaye hajatumika sana?
Kama upo serious nifate PM chap tuanze kazi.
Sijakuelewa mkuuSasa unashindwa vipi kuwapata kwa ujuzi wako mpaka upewe au dawa zako zipo specific kudhuru wezi pekee ?
Dada yake au Mke wake ? Unamwabia akupe ili umtengenezee dawa.., sasa kwa ujuzi wako wa kudhuru watu waliopo kilomita kadhaa wala hujui wapo wapi unashindwa kuwapata hao dada zake mpaka akupe ? ( Ukizingatia hilo la dada wala halihitaji dawa, unapeleka mahari tu wala huitaji uchawi)Sijakuelewa mkuu
Jidanganye wew mswahiliNdugu usipokua makini na roho ya uvumilivu utapoteza ata hicho ulichobakiza,waganga wa ukweli woteee walikufa kipindi cha vita ya pili ya Dunia waliobaki wote waganga njaa.Mwachie M/mungu atafanya yake..
Unataka kuliwa hela tuu tafuta zingineWakuu nahitaji msaada Mganga wa kuunganishwa na mganga atakayeweza nisaaidia kurudisha mali zangu zilizoporwa, pamoja na kuwa adhibu wahusika, Malipo ni baada ya kazi (vitu kurudishwa na wahusika kufahamika)
Natanguliza Shukrani