Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nenda benki ya PBZWakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi).
Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat.
Namba zangu ni 0654102984.
We uza tu kiwanja nani akupe Hela bureWakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi).
Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat.
Namba zangu ni 0654102984.
Hakuna Mkopo bila riba. Hata ukiweka kitu chako. Mwisho wa siku anakuachia kitu chako.Ndio maana nkaweka dhamana mkuu..ila kama Riba pia iwe riba nafuu..Maana nlijua ukiweka dhamana ya kitu au hati..Riba inakua excluded.
Halafu mimi nanufaika na nini hyo riba ikiwa excludedNdio maana nkaweka dhamana mkuu..ila kama Riba pia iwe riba nafuu..Maana nlijua ukiweka dhamana ya kitu au hati..Riba inakua excluded.
bank ikiwa inafanya hivo itajiendeshaje?Nenda benki ya PBZ
Naomba Mungu atokee Msamaria mwema...nimetingwa sana aisee.1 week ago nilipost kama hivi nikadhihakiwa sana na members humu,nilikua nimeshikwa hatari .
Ukiachana na dhihaka za members humu pia mod walifuta uzi wangu kikatili mno.
Thanks God nilipata Ile hela usiku ule ule unexpectedly ,pole watakaokusaidia hata hawana mda wa ku'comment hapa ujinga
Kuwekewa riba hakuondoi Dhamana ya MKOPO unaoomba.Ndio maana nkaweka dhamana mkuu..ila kama Riba pia iwe riba nafuu..Maana nlijua ukiweka dhamana ya kitu au hati..Riba inakua excluded.
Totally madnessAina hiyo ya mkopo utaupata kwa ndugu na rafiki yako wa karibu tu
Mtu atoe fedha yako, ahangahike kwenda site kuhakikisha hicho kiwanja kama kipo, atunze nyaraka za kiwanja halafu pesa yake alipwe kwa makundi.
This is madness pro max.
Hamna mtu ataekukopesha laki 7 bila ribaSiuzi mkuu maana nimeshainua mpk lenta..mkopeshaji atayekuja na riba nafuu.Karibu