Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi).

Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat.

Namba zangu ni 0654102984.
Nenda benki ya PBZ
 
We uza tu kiwanja nani akupe Hela bure
 
Ndio maana nkaweka dhamana mkuu..ila kama Riba pia iwe riba nafuu..Maana nlijua ukiweka dhamana ya kitu au hati..Riba inakua excluded.
Hakuna Mkopo bila riba. Hata ukiweka kitu chako. Mwisho wa siku anakuachia kitu chako.
 
Aina hiyo ya mkopo utaupata kwa ndugu na rafiki yako wa karibu tu
Mtu atoe fedha yako, ahangahike kwenda site kuhakikisha hicho kiwanja kama kipo, atunze nyaraka za kiwanja halafu pesa yake alipwe kwa makundi.
This is madness pro max.
 
1 week ago nilipost kama hivi nikadhihakiwa sana na members humu,nilikua nimeshikwa hatari .
Ukiachana na dhihaka za members humu pia mod walifuta uzi wangu kikatili mno.
Thanks God nilipata Ile hela usiku ule ule unexpectedly ,pole watakaokusaidia hata hawana mda wa ku'comment hapa ujinga
 
Ndio maana nkaweka dhamana mkuu..ila kama Riba pia iwe riba nafuu..Maana nlijua ukiweka dhamana ya kitu au hati..Riba inakua excluded.
Halafu mimi nanufaika na nini hyo riba ikiwa excluded
 
riba is inevitable ,, unless chukua simu pitia contact list
 
Halafu mimi nanufaika na nini hyo riba ikiwa excluded
mkuu nilikua sifahamu..now mshanitoa tongotongo kua riba ni lazm...sasa tuendelee..mie sjui condition Riba itakuwaje kwa hiyo Pesa nayohitaji.
 
1 week ago nilipost kama hivi nikadhihakiwa sana na members humu,nilikua nimeshikwa hatari .
Ukiachana na dhihaka za members humu pia mod walifuta uzi wangu kikatili mno.
Thanks God nilipata Ile hela usiku ule ule unexpectedly ,pole watakaokusaidia hata hawana mda wa ku'comment hapa ujinga
Naomba Mungu atokee Msamaria mwema...nimetingwa sana aisee.
 
Hv kumbe hii mikopo wanayotoa bank ambayo mtu ameweka dhamana nyumba n.k haina riba ? Ndio nasikia Leo ukiweka dhamana riba inakuwa excluded 😂😂

Mm najua kazi ya dhamana ni kufidia pale mkopaji atakaposhindwa kulipa na Sio kufanya riba iondolewe kwenye mkopo.

N.B: tafuta dalali chapu piga bei kiwanja hiko utapata hiyo laki 7 na unanunua kingne hukohuko kisemvule Kupitia dalali huyohuyo
 
Ndio maana nkaweka dhamana mkuu..ila kama Riba pia iwe riba nafuu..Maana nlijua ukiweka dhamana ya kitu au hati..Riba inakua excluded.
Kuwekewa riba hakuondoi Dhamana ya MKOPO unaoomba.
Kumbuka anayekuazima hyo pesa hakujui wala haumjui na sehemu pekee ambayo mkopeshaji ataona usalama wa pesa yake ni mkopeshaji kuweka MALI KAMA HIYO HATI.
 
Watafute AMANA BANK wanaweza kukusaidia.
 
Aina hiyo ya mkopo utaupata kwa ndugu na rafiki yako wa karibu tu
Mtu atoe fedha yako, ahangahike kwenda site kuhakikisha hicho kiwanja kama kipo, atunze nyaraka za kiwanja halafu pesa yake alipwe kwa makundi.
This is madness pro max.
Totally madness
 
Back
Top Bottom