Msaada: Nahitaji mtoto

Msaada: Nahitaji mtoto

pole sana kwa matatizo, bwana ni MWEMA sana kwa wakati wote usitoke nje usinje mpoteza mumeo kwa pressure , ndani ya mwaka utashika mimba kwa uwezo wa bwana. so kuwa makini na hizo dawa unazopewa na kutajiwa tatizo sukari MTU atakuletea dawa zinaongeza shahawa badala ya kudhibiti sukari haiwezi kufanya kazi mwilin .
 
Afanye mazoezi yana julikana kama kegel principal download hata kwenye google play atakuelekeza kufanya in tiba isiyo na shaka utapata mtoto baada ya mwezi mmoja wa mazoezi ya baba
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake.

Imefikia hali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.

Nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
Bibie.@lady mmarangu pole sana kwa hayo matatizo inatakikana huyo mume wako kwanza kabisa atibiwe hayo maradhi ya ugonjwa wa kisukari ndipo atakapo weza kukupa mimba na ukazaa pasipo na kutibiwa hayo maradhi yake ya kisukari hataweza kukupa mimba. Ukihitaji matibabu ya maradhi ya kisukari kwa mume wako unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Atakutafuta tu mtaalam wa tiba asilia Africa mashariki na Kati!

Msalimie sharifu majini!
 
Ndugu nakushauri Wewe na Mumeo mumuone Bingwa wa matatizo hayo anaitwa Profesa Majinge anapatikana Hospitali ya DCMC DODOMA Iliyopo eneo la NTYUKA
 
Back
Top Bottom