Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Kuna mwengine anaitwa HANA mama wa Samweli.Mungu wetu huwa hachelewi...unamkumbuka sara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwengine anaitwa HANA mama wa Samweli.Mungu wetu huwa hachelewi...unamkumbuka sara!
Bibie.@lady mmarangu pole sana kwa hayo matatizo inatakikana huyo mume wako kwanza kabisa atibiwe hayo maradhi ya ugonjwa wa kisukari ndipo atakapo weza kukupa mimba na ukazaa pasipo na kutibiwa hayo maradhi yake ya kisukari hataweza kukupa mimba. Ukihitaji matibabu ya maradhi ya kisukari kwa mume wako unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.MawasilianoNahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake.
Imefikia hali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.
Nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
Atakutafuta tu mtaalam wa tiba asilia Africa mashariki na Kati!Bibie.@lady mmarangu pole sana kwa hayo matatizo inatakikana huyo mume wako kwanza kabisa atibiwe hayo maradhi ya ugonjwa wa kisukari ndipo atakapo weza kukupa mimba na ukazaa pasipo na kutibiwa hayo maradhi yake ya kisukari hataweza kukupa mimba. Ukihitaji matibabu ya maradhi ya kisukari kwa mume wako unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
vumilia kwa kuwa ameacha pombe anaweza recover sio suala la haraka hvoTumejaribu kwenda kwa doctor na amepewa dawa ila sioni kama zinasidiwa