Umezoea mitumba mpaka huamini kitu chochote kipya.Hakuna kitu apo..
Nunua used 250k
Hz hazifahi kabisaaaNunua homebase
Zote hizo ni bidhaa nzuri sanaaaa mm ningechagua BRUHMWakuu salaam,
Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo
naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo
je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile zilizosukwa ndan ipi ni bora
Najua wapo wataalam au baadhi yao waliowahi kununua aina izo hapo juu,mnaweza nipa ubora au changamoto zake..
nimeona vizur kuuliza kabla ya kufanya ujuaji mwisho nipigwe bure...
asanten
Hii hamna kitu kabisa mkuu, nimenunua jipyaa lakini huku chini hakupooozi vizuri... Fundi akaniambia yana uwezo mdogo labda uliache bila kuzima wiki nzimaNunua homebase