Mimi nilinunua friji mtumba 6 yrs ago sh laki 7... Sijawahi juta mpaka leo, yaani friji inapoza hiyo balaa.. Sasa hapa majuzi nikanunua Homebase kwa milioni moja yaani hakuna friji hapo, inapoza tuu kwenye friza huku chini vitu ukiweka vinavunda na kuharibika.. Yaani bure kabisa.. Mafundi wanasema mchina kaweka kompresa ndogo ambayo haina nguvu...Umezoea mitumba mpaka huamini kitu chochote kipya.
Kabisa mkuu bure kabisa hizi friji za kichina..Hz hazifahi kabisaaa
Mimi nilinunua friji jipya more than 10yrs ago hadi leo linafanya kazi.Mimi nilinunua friji mtumba 6 yrs ago sh laki 7... Sijawahi juta mpaka leo, yaani friji inapoza hiyo balaa.. Sasa hapa majuzi nikanunua Homebase kwa milioni moja yaani hakuna friji hapo, inapoza tuu kwenye friza huku chini vitu ukiweka vinavunda na kuharibika.. Yaani bure kabisa.. Mafundi wanasema mchina kaweka kompresa ndogo ambayo haina nguvu...
Hahaha...hivi fridge za BOSS zinatengenezwa wapi? Kwasbb BOSCH ni kampuni bora na maarufu sana ya U.S.A na katika list ya kampuni za China zinazotengeneza refrigerators BOSS huwa haipo
Mimi ninalo la kampuni hiyo ya homebase la milango ya kioo lipo poa kabisaaa na halitafuni umemeHii hamna kitu kabisa mkuu, nimenunua jipyaa lakini huku chini hakupooozi vizuri... Fundi akaniambia yana uwezo mdogo labda uliache bila kuzima wiki nzima
Hizo ni zile products za zamani, zilikuwa na ubora wa hali ya juu kabla mchina kuanza kumwaga bidhaa zake feki... Kuna friji anko wangu alikuja nalo toka UK Miaka ya themanini hukoo na music system ya HITACHI mpaka leo vyote vizima kabisa ingawa ni old models..Mimi nilinunua friji jipya more than 10yrs ago hadi leo linafanya kazi.
Aina gani?Mimi nilinunua friji jipya more than 10yrs ago hadi leo linafanya kazi.
Kuna kitu kinaitwa eag mjerumani
Nilinunua hii Homebase kwa kweli najuutaaa, yaani ukiacha pale juu kwenye frizer huku chini hakupoozi kabisa na nikiweka vitu vinaharibika...Nunua homebase
Kuna friji nilinunua used laki tatu na nusu miaka 10 iliyopita yaani mpaka leo linadunda na wala halijawahi kusumbua.Hakuna kitu apo..
Nunua used 250k
Mbona magari tunanunua mitumba mkuu? huo ndiyo uwezo wetu, friji ya uhakika mpya ni kuanzia milkioni 3 hizi za laki 5 mpaka 7 ndiyo hizo siku mbili chaliii...Umezoea mitumba mpaka huamini kitu chochote kipya.
[emoji1787]Nilifanikiwa kupata aina ya Hisense kulingana na ushaur na pesa niliokua nayo..
Kwa mujibu wa muuzaji anasema yanayotoka South Africa ni mazur kuliko China..capacity yake ni kama 210L iv
Changamoto nimeanza kuona juz hapa baada ya wife kuanza kugandisha mabarafu,aisee linachukua siku mbili hadi upate barafu ilio ngumu..sasa najiuliza sijui ni joto la hapa siku za katkat au uwezo wake tu ni mdg!!