Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Mimi nilinunua friji mtumba 6 yrs ago sh laki 7... Sijawahi juta mpaka leo, yaani friji inapoza hiyo balaa.. Sasa hapa majuzi nikanunua Homebase kwa milioni moja yaani hakuna friji hapo, inapoza tuu kwenye friza huku chini vitu ukiweka vinavunda na kuharibika.. Yaani bure kabisa.. Mafundi wanasema mchina kaweka kompresa ndogo ambayo haina nguvu...Umezoea mitumba mpaka huamini kitu chochote kipya.