Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Kujaribu siyo mbaya hata ukimkosa matusi utapata
 
Vichaa wengi humu unazimika na MTU hujawai kumuona hata kwa picha je ukikuta ni shemale utafanyaje??
 
Mis natafta je? Unataka ndoa??
 
nilishawai kukuomba hela mkuu?
Hapana ila katika uzi wa Nyani Ngabu juu ya namba yake kufutwa kisa pesa ulipoint kua kwako kuomba hela hua ni mtihani wa mwisho ili kumuingiza mtu moyoni.

Hapa nimeandika kimasikhara, samahani kwa kukukera.
 
OK NIMEKUELEWA .NI KWELI HYO NI INTERVIEW YANGU UKIFAULU HIYO BASI
 
Miss natafuta ni mpana mazeee unabidi ujipange,,,,,...bwahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…