Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Vichaa wengi humu unazimika na MTU hujawai kumuona hata kwa picha je ukikuta ni shemale utafanyaje??
 
nilishawai kukuomba hela mkuu?
Hapana ila katika uzi wa Nyani Ngabu juu ya namba yake kufutwa kisa pesa ulipoint kua kwako kuomba hela hua ni mtihani wa mwisho ili kumuingiza mtu moyoni.

Hapa nimeandika kimasikhara, samahani kwa kukukera.
 
OK NIMEKUELEWA .NI KWELI HYO NI INTERVIEW YANGU UKIFAULU HIYO BASI
 
Miss natafuta ni mpana mazeee unabidi ujipange,,,,,...bwahahahahaha
 
Back
Top Bottom