DuhSio lazima kila kitu kwenye maisha yako ukiweke public kwa social media, akili yako inakutosha kabisa kutatua mambo madogomadogo.
Mama wakwe ndio wabaya zaidiIli ufaidi ndoa inabidi utengeneze mazingira aina yeyote ile ile baba na mama mkwe wakuogope kama simba,kinyume na hapo tegemea família yako kuongozwa kwa sheria za baba mkwe!
Watajua SIMBA DUME limeingiaSiku ya kwenda piga K Vant ile kubwa, hawatakuzingua.
Ukute mkwe mwenyewe ndio Dokta KumbukaUkiwa na wakwe usiongee ongee hovyo, wala kuchekacheka hovyo, ukiulizwa swali jibu kwa ufupi tu, kila la heri.
MUNGU akutangulieNina week nimebakiza niende kujitambulisha ukweni kwenye familia ambayo kwa jinsi binti alivyonieleza baba na mama mkwe ni wakorofi Sana.
Ameniambia pia nijiandae kujibu maswali kwani unaweza kuulizwa maswali ya maudhi yakakutoa kwenye reli au ya kawaida kwani familia yake anailewa jinsi ilivyomdomo mdomo soo naombeni ushauri jinsi ya kudeal na hali hii na nijiandaaje siku hiyo?