Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Oct 18, 2021 #21 mbenda said said: Mtoto wa kike hufuata tabia za mama yake na mtoto wa kiume hufuata tabia za baba yake,ikitokea mkapishana kauli na mwenza wako wanatakiwa kuwaweka chini wazazi sasa kama wazazi vibati vimelegea jua mtihani huo, hapo chukua hatua mapeeeeeema Click to expand... Ukitaka kuishi maisha mafupi duniani,au ndoa chungu oa familia za wakoloni. Wakorofi bila ngumi uendi,ngumi kwa sasa sio maisha
mbenda said said: Mtoto wa kike hufuata tabia za mama yake na mtoto wa kiume hufuata tabia za baba yake,ikitokea mkapishana kauli na mwenza wako wanatakiwa kuwaweka chini wazazi sasa kama wazazi vibati vimelegea jua mtihani huo, hapo chukua hatua mapeeeeeema Click to expand... Ukitaka kuishi maisha mafupi duniani,au ndoa chungu oa familia za wakoloni. Wakorofi bila ngumi uendi,ngumi kwa sasa sio maisha
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Oct 18, 2021 #22 Planett said: Bila shaka unaoa uzaramoni mkuu au nasema uongo ndugu zangu! Click to expand... Wazaramo sio wakorofi,wao ni mdomo. Ukorofi wakurya, kaskazini
Planett said: Bila shaka unaoa uzaramoni mkuu au nasema uongo ndugu zangu! Click to expand... Wazaramo sio wakorofi,wao ni mdomo. Ukorofi wakurya, kaskazini
ngome1838 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2019 Posts 2,027 Reaction score 2,490 Aug 19, 2022 #23 Vaa koti kubwa na rungu kama la kipepe mgongoni usisahau kuondoa aibu kwa kunywa ngumu moja glass kama mbili hivi
Vaa koti kubwa na rungu kama la kipepe mgongoni usisahau kuondoa aibu kwa kunywa ngumu moja glass kama mbili hivi