Msaada ; najikuta nasinzia hovyo muda wa kazi

super mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
223
Reaction score
172
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara

Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha

Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.

Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...

Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.

Nawasilisha.
 
Wakati nipo chuo hata mimi nilikua nasinzia sana nikiwa lecture
 
Lala masaa yasiyopungua sita kila siku siku unapopata nafasi, punguza kampani ya bar kama ni mfuasi. Kuna dawa zozote unatumia?
 
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara

Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha

Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.

Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...

Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.

Nawasilisha.

Anza siku kwa ku workout (mazoezi), hata madogo madogo yatakayokufanya kutoka jasho.
Jitahidi kujishughulisha unapokuwa darasani kama vile kuandika summary.
Angalia vyakula unavyokula pia (kuna vyakula vinaongeza hilo tatizo)
 
Pima damu mkuu, red blood cells ndiyo chombo cha kusafirishia oxygen. Zikiwa chache inamaana oxygenate blood kwenye system haikidhi mahitaji ya mwili.

Ukijisikia kulala toka nje upate fresh air huku ukitake a deep breath in an out. Dakika tano nje zinatosha.

Chagua kipi ni muhimu kwako na u tune brain ku focus nacho.
 
Unasinzia lecture kwa sababu sasa hv ukigraduate hakuna ajira kwa hiyo ubongo umejitune kwenye mambo ya muhimu (maneno yangu sio sheria)
 
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara

Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha

Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.

Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...

Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.

Nawasilisha.
Pata muda wa kulala.. Pumzika inaonekana huna muda mzuri wa kulala ndio matokeo yake

Usingizni tiba
 
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara

Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha

Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.

Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...

Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.

Nawasilisha.
Oh pole, mindset problem, umeruhusu akili ichukie lectures na mazingirs ya shule, perhaps kazi, aina ya masomo na mafanikio (kama yapo) unayopata toka kwenye hiyo kazi imepelekea kuwa hivyo, kwamba, yawezekana ukaona you somehow have want u want/wanted hivyo ni kama unapoteza muda ktk lecture rooms ama u have lost apetite. Tiba yake huanzia ktk kubadirisha mtazamo wako na kuamua kupenda masomo yako, walimu na kutambua malengo uliyojiwekea.
Ni mtizamo wangu.
 
Jitahidi Uwe unapata muda wa kutosha wa kupumzika Mara tu umalizapo lectures na mikiki ya kazi. Kusoma na kufanya kazi at the same time ni kitu ngumu.
 
Usingizi huleta afya na furaha mkuu, sometimes malekcha wanaboa kwa kufundisha upupu, utendee haki mwili wako ukijisikia kulala lala, ukiendesha gari ukisikia usingizi paki pembeni mahali palipo salama uchape usingizi ukipunguza unachapa zako malapa.
 
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara

Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha

Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.

Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...

Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.

Nawasilisha.
Panga ratiba vizuri
 
Unasinzia kwasababu hukipendi unachokifanya.
 
Back
Top Bottom