super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 172
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara
Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha
Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.
Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...
Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.
Nawasilisha.