super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 172
Asante kwa ushauri mkuuuwe unalala pale unapopata nafasi hata masaa 3
Nifanyeje mkuu naichukia hali hii!!!Wakati nipo chuo hata mimi nilikua nasinzia sana nikiwa lecture
Hapana mkuu pia situmii kilevi aina yoyote ileLala masaa yasiyopungua sita kila siku siku unapopata nafasi, punguza kampani ya bar kama ni mfuasi. Kuna dawa zozote unatumia?
Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara
Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha
Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.
Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...
Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.
Nawasilisha.
Pata muda wa kulala.. Pumzika inaonekana huna muda mzuri wa kulala ndio matokeo yakeHabari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara
Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha
Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.
Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...
Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.
Nawasilisha.
Oh pole, mindset problem, umeruhusu akili ichukie lectures na mazingirs ya shule, perhaps kazi, aina ya masomo na mafanikio (kama yapo) unayopata toka kwenye hiyo kazi imepelekea kuwa hivyo, kwamba, yawezekana ukaona you somehow have want u want/wanted hivyo ni kama unapoteza muda ktk lecture rooms ama u have lost apetite. Tiba yake huanzia ktk kubadirisha mtazamo wako na kuamua kupenda masomo yako, walimu na kutambua malengo uliyojiwekea.Habari za weekend wakuu!!
Mimi ni kijana miaka 25 ni mwanachuo pia nafanya kazi( biashara
Hali hii naichukia sana maana najikuta ile asubuhi nikiingia lecture nasinzia ila mwalimu akitoka usingizi unaisha
Kuhusu kazin ..muda mwingi nakua nipo active ila kuna wakati hata nikiwa kwenye gari najikuta nasinzia haijalishi ni mchana.asubuhi au jioni.
Pia wakuu ..tatizo lingine ni kwamba ..nikiwa chuo huwa nafikiria zaid huku kazini( biashara) ila nikiwa kazini najikuta nafikiria zaid chuo...
Msaada wenu tafadhali maana hali hii inanifanya nakosa umakini kiasi flan...pia inaniathiri kisaikolojia.
Nawasilisha.
Sawa mkuu nimekupataAcha kula mihogo mkuu au kushiba kupita kiasi
Sawa mkuuJitahidi Uwe unapata muda wa kutosha wa kupumzika Mara tu umalizapo lectures na mikiki ya kazi. Kusoma na kufanya kazi at the same time ni kitu ngumu.
Panga ratiba vizuriHabari za weekend wakuu!!