Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa zinauzwaje?Tengeneza script uuze bongo movie
Alikupa jibu gani mkuu?Jana nilimwambia Ukweli wote kuhusu mpango wangu wa kuishi naye. Lakini kwa nilichokiona leo ndicho kimenileta hapa jukwaani
Uzuri ndo unakuponza mkuukaka ni kwamba huyu binti amepanga ninapishi. Harafu ni mzuri so sikutaka kuchelewa na wala sikuwa na mpango wa kuoa. Nilitaka kufanya kwa kipindi then nisepe.
Uzinzi?Wasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Duh inaelekea hukuwahi kuwa na demu mkali before Dunia hii watu wanaacha hadi ufalme wa taarabu wewe upo kwenye research ya kutafuta magonjwanitakapo pata njia ya kuachana nae nadhani nitafanya hivyo. Tambua namaanisha, tambua sipo hapa kuuza chai wala kahawa. Mawazo yako mkuu
Pole ,,,hujishangai na wewe kumgonga kirahisi hivyo,,,!!?
Anyway kinachokuuma so uchangudoa wake,,,kinachokuuma ni kugongewa na vibompa na ilhali we we mwenyewe unamuona akichukuliwa,,,tafuta gari na we we uwaone wazuri zaidi ya Huyo,,,pole sana mchaga unayechagua mapenzi badala ya pesa,,,tuachie sisi hao watu wapwani,,,
Hehehehee...mwenzio amekwamaa jamani.Tengeneza script uuze bongo movie
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nikikuaga nashangaa kusikia watu wanajiandalia makaburi yao nikawa nashangaa kweli!? Kumbe ndo kwa style hii? Mkuu andika mirathi kabisa ndugu zako wasije pata tabu badae..... Rip in advance
Umenasa kwa uzuri wake au kwa sababu uliona ni mtu sahihi kuishi na wewe 'for the rest of your life'? Nadhani sababu zako zipo katika matamanio ya mwili zaidi ya kuwa yeye ni mtu wa aina gani na kwamba atafaa kuitwa mke wako kwa tabia zake, achilia mbali uzuri wa sura.Nimenasa kweli nakama angebadilika basi nadhani angekuwa mke wangu
Ushauri wako umenipa uhueni wa kunifanyaDrug, sex, money are triple threats ambazo zinaweza mfanya good man kwenda bad na kufikiri vibaya tofauti ambavyo angefikiri akiwa hayupo influenced na vitu hivyo. Ogopa sana hivi vitu, na ndo vitu vinavyoiangamiza dunia kwa kiwango kikubwa sana vikiacha fame kuchukua percentage ndogo katika uangamizaji huo.
Hicho ulichosema ni jambo la kawaida kwa vijana wa sasa hivi wengi. Wenyewe wanawaita ving'asti kwa huku uswazi tunapoishi. Unakuta kijana wa kiume anamsindikiza mpaka road msichana wake aende kujiuza. Wengine wanaenda mbali zaidi wanakaa wanawasubiria hao wasichana wao mpaka wanapomaliza biashara yao na wanarudi wote nyumbani.
Hichi nadhani nawe ndipo unapoelekea ama ndipo anapotaka kukupeleka. Ushauri wa kiutu uzima, tafuta siku ukae naye huyo dada. Isiwe kwako wala kwake maana mnaweza ishia kut**na badala ya kuongea. Ongea naye A to Z kuhusu maisha yake, msikilize nimeona umeandika kuwa anakupenda, if anakupenda kweli for real atakwambia yake yote na sababu ya yeye kufanya hivyo.
Kama na wewe unampenda, baada ya kusikiliza maneno yake utaamua. Kama utaridhika uamuzi unaweza kuwa kumchukua na kuishi naye kama una uwezo wa kumuhudumi (if not usijaribu) na process zingine zikafuata. Though hapa utakuwa unafanya biggest gamble of your life If hujaridhia na utakachosikia toka kwake achana naye for good. Ikiwezekana hama kabisa unapoishi maana ushapewa warning kuwa akikukuta na mwanamke atamchana na viwembe, kitu ambacho hakishindikani. Na hutoweza ishi kwa amani na mwanamke mwingine katika mazingira hayo.
Warning :
Usijaribu kuoa kwa sababu tuu the girl fukcs you good. Lazima kuwe na sifa nyingine za mke, kwani huoi sex worker, unaoa mke probably mama wa watoto wako. Maisha ya mke na mme yanakwenda zaidi ya kut**na.
Pia dude, one more thing, there is there is this jamaa wa kuitwa UKIMWI out here, play safe.
Kaka tambua upendo huanza kama tamaa, na mimi nilianza kwa kutamani. Mungu anajua ninachokisema. Nampenda sanaUmenasa kwa uzuri wake au kwa sababu uliona ni mtu sahihi kuishi na wewe 'for the rest of your life'? Nadhani sababu zako zipo katika matamanio ya mwili zaidi ya kuwa yeye ni mtu wa aina gani na kwamba atafaa kuitwa mke wako kwa tabia zake, achilia mbali uzuri wa sura.
Fikiri tena, acha kuongozwa na hisia kijana. BTW, ni muhimu kutumia njia za kuzuia maambukizi ya maradhi ya kuambukiza kingono, you're not safe.