Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwenye hilo swala mimi pia niliwai pitia , nilipata demu kupitia “badoo"nimelog in asubuhi nikajichagulia mwenye pozi zuri, nikafanikiwa kumpata binti mmoja mwenyeji wa kigoma, jioni nikajipigia.kilichofuata yule binti nilishindwa kumuacha kirahisi na yeye pia aliniganda, japo nilijua anajiuza, mara ya kwanza nilipiga kwa hela ila siku zilivyosonga akawa ananipa bure, ikawa ndio tulizo langu, mpaka mwenyewe akawa anashangaa why tumekuwa so closed na yy huwa sio kawaida yake,,, binti akaona anaweza kunipa magonjwa na alikuwa akinihurumia ilimbidi ahame mkoa kabisa na kwenda kufanya biashara yake mkoa mwingine japo ilinitesa kwa muda mwishowe nikazoe, now huwa tunawasiliana tu na hataki nijue yupo mkoa gani.Wasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Mkuu kilichotokea leo kimenifanya nije niseme ukweliProfile picture yako, inadhihirisha unataka msaada meku, lakini sasa kweli mtu aletwe na gari hata huna wivu? kama ni mm hiyo tu ndo ingenipa ujasiri wa kupiga moyo konde, bro that chic is abitch and you know it, comeooooooon wake uuup!
ahsante kaka, nitafanya hivyo, natamani kujiondoa katika hiliMkuu kwenye hilo swala mimi pia niliwai pitia , nilipata demu kupitia “badoo"nimelog in asubuhi nikajichagulia mwenye pozi zuri, nikafanikiwa kumpata binti mmoja mwenyeji wa kigoma, jioni nikajipigia.kilichofuata yule binti nilishindwa kumuacha kirahisi na yeye pia aliniganda, japo nilijua anajiuza, mara ya kwanza nilipiga kwa hela ila siku zilivyosonga akawa ananipa bure, ikawa ndio tulizo langu, mpaka mwenyewe akawa anashangaa why tumekuwa so closed na yy huwa sio kawaida yake,,, binti akaona anaweza kunipa magonjwa na alikuwa akinihurumia ilimbidi ahame mkoa kabisa na kwenda kufanya biashara yake mkoa mwingine japo ilinitesa kwa muda mwishowe nikazoe, now huwa tunawasiliana tu na hataki nijue yupo mkoa gani.
Mimi cha kushauri kama una nia ya kutokuwa nae unaweza achana nae ikibidi hama hapo na ufute mawasiliano nae coz ukiendelea unaweza pata magonjwa yetu ukaja kushtuka kumekucha.
Ushauri wako umenipa uhueni wa kunifanya
nimface, Umeandika kile ambacho nilikuwa nakitafuta. Nitalifanya hili katika sehemu tulivu na ya wazi. Kile ambacho aliwahi kuniambia ni kwamba aliolewa Musoma lakini mwanaume aliyemuoa alikuwa akimpiga mpaka kumvunja mkono. Maamuzi aliochukua ni kukimbia. Sasa sijui kama hili linaweza kuwa chanzo
Hakuna cha ukimwi wewe mwache apige show, unajua utamu wa kunogewa wewe? Mwenyewe kasema siku ya kwanza alitoa chozi mahabaUkipata ukimwi utamuacha endelea mkuu amna shida
Hahaha shemu hakuna namna jinasue.....kama ulishafiwa na umpendaye inavyouma baadae unaona sawa japo ngumu kuzoea .....msome BADILI TABIAShemu ni Rahisi kumtia kofi MP wa jeshi kuliko mimi kumuacha huyu. Ingawa sijaongea naye kutwa nzima lakini hapa nilipo nahisi kuungua
Shemu pole kabla hujaendelea kujiumiza kwa swala hilo mfikirie dogo na maisha yake naamini na hilo litapitaJana nilimwambia Ukweli wote kuhusu mpango wangu wa kuishi naye. Lakini kwa nilichokiona leo ndicho kimenileta hapa jukwaani
Kama anakupenda angebadilika lakini anakuonyesha waziwazi nawe huoni inawezekana anakupa ujumbe wewe umelemewa kwa penziYupo tayari hata muda huu