Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Pole. Najua unachopewa ndio kinakufanya ushindwe kutoka. Muwazie pia Christina akikosa baba itakuwaje. Unapenda aje awe nae anashushwa na magari. Huo wivu anaosema ni uongo maana yeye anachofanya hawezi kuwa na wivu. Kama vipi hama mtaa. Chukua tahadhari mapema na hujasema kama mnatumia kondom au la maana katika hilo jambo unapaswa ujiamini wewe mwenyewe tu
 
Hapo ndugu umependa usipopendwa! Kama kweli amekupenda angeacha! Atakusumbua tu huyo.
 
Huwa najaribu kumshauri katika hilo la kuamini Nampenda na kumtaka atulie nami ingawa huwa simwambii moja kwa moja bali kwa kutumia mifano
 
Akuombe samahani kwa lipi Mkuu wakati hiyo ndiyo shughuli yake inayompatia kula yake? Hata kama atakuomba samahani itakuwa ni ya kinafiki na baadaye tena leo huyoooo anaingia kwenye night shift.
hapa nimejifungia room kuogopa kuumia pale atakapo rudishwa. Naishi kwa mateso na maumivu sana. Hii nyumba nimeiona Chungu
 
Hama Mkuu kama unaweza kufanya hivyo haraka itakuwa poa sana, hiyo ndiyo itakuwa ahueni yako na kama utafanikiwa kuhama potezea namba yake.

hapa nimejifungia room kuogopa kuumia pale atakapo rudishwa. Naishi kwa mateso na maumivu sana. Hii nyumba nimeiona Chungu
 
Kuhusu CHRISTINA wangu huko sina mashaka. Licha ya Kupatwa na hili janga lakini still natimiza wajibu wangu kama baba.

Kuhusu Condoms hilo sio la kuuliza MKUU
 
Hama Mkuu kama unaweza kufanya hivyo haraka itakuwa poa sana, hiyo ndiyo itakuwa ahueni yako na kama utafanikiwa kuhama potezea namba yake.
Nataka nianze mchakato wa kuhamisha kimoja kimoja bila kumgutusha. sijawahi tendewa hili wala kupenda hivi
 
Pole sana bahati mbaya mapenzi ni upofu, mtu miezi michache iliyopita kabla ya kukutana na huyu angekwambia utampenda changundoa kiasi hiki ungemkatalia kabisa tena kata kata, lakini angalia jinsi ulivyo ndembe ndembe kwa penzi la changudoa.


When a man loves a woman
Can't keep his mind on nothin' else
He'd trade the world
For a good thing he's found
If she is bad, he can't see it
She can do no wrong
Turn his back on his best friend
If he puts her down
When a man loves a woman
Spend his very last dime
Trying to hold on to what he needs
He'd give up all his comforts
And sleep out in the rain
If she said that's the way
It ought to be
When a man loves a woman
I give you everything I got (yeah)
Trying to hold on
To your precious love
Baby please don't treat me bad

Nataka nianze mchakato wa kuhamisha kimoja kimoja bila kumgutusha. sijawahi tendewa hili wala kupenda hivi
 
Hakika MICHAEL BOLTON ameongea kile ambacho kipo katika maisha yetu halisi mimi nikiwa mfano mmoja wapo
 
Maamuzi Yanapotawaliwa Na Hisia Zaidi Kuliko Upeo Wa Kufikiri Ni Hatari Sana.
 
nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Hiyo Inaonyesha Ni Jinsi Gani Hajali Kuhusu Hisia Zako Juu Yake. Mtu Ambaye Hajali Kuhusu Hisia Zako Hawezi Kuwa Anakupenda Kwa Dhati.
 
Kinachoniuma ni Penzi lililoanza kumea moyoni mwangu. Hata yeye anakili kuwa ananipenda lakini tatizo sijajua liko wapi
Tatizo Lililopo Ni Kwamba Hakupendi, Usidanganyike Na Kauli Zake Wakati Haziendani Na Matendo.
 
Jana kuna IBRA gulsni alikuwa snatafuta jimama lenye pesa hata kama Lin'sa ukimwi wadau sio huyu??
 
Jana kuna IBRA gulsni alikuwa snatafuta jimama lenye pesa hata kama Lin'sa ukimwi wadau sio huyu??
Sina akili za kipuuzi kama unavyofikiria. Waulize wanaoijua hii Id wakwambie. Au tizama kwenye prfl then unifananishe na hao wajinga wenzako. Nipo hapa nikitafuta msaada wa kuachana na hili tatizo, sipo hapa kuuza chai wala kutafuta malaya. Nifuatilie Utajua Ibra87 ni nani hapa jf.
 
duuuh walai vile huyo binti sio mchaga ? MCHAGA NA MAPENZI WAPI NA WAPI?? INGEKUWA PESA NINGEKUBALI,,LAKINI MAPENZI KWETU NI EXTRA ...MCHUNGUZE VIZURI ANATOKEA MKOA GANI...
 
duuuh walai vile huyo binti sio mchaga ? MCHAGA NA MAPENZI WAPI NA WAPI?? INGEKUWA PESA NINGEKUBALI,,LAKINI MAPENZI KWETU NI EXTRA ...MCHUNGUZE VIZURI ANATOKEA MKOA GANI...
Ni mchaga kabisaa tena wa machame. Nimehakiki hilo, na nimethibitisha hilo. Nadhani ameamua kuitafuta pesa kwa mtindo huu. Halioni wala kujali kile ninacho jisikia kwake
 

kuna haja ya kuhama hapo mkuu anaweza kumchunia hata mwezi lakini manka akimtokea atashindwa kujitoa kutokana na maelezo yake......fikiria anatoka kulala naye then anachukuliwa na mwanaume mwingine wanakwenda anamrudisha asubuhi na anaona baadaye wanakutana tena kuna shida hapo la muhimu aendelee kumchunia na kuhama viende kwa pamoja asiweze kumrubuni kwa kumwona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…