chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 311
Love is blind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole. Najua unachopewa ndio kinakufanya ushindwe kutoka. Muwazie pia Christina akikosa baba itakuwaje. Unapenda aje awe nae anashushwa na magari. Huo wivu anaosema ni uongo maana yeye anachofanya hawezi kuwa na wivu. Kama vipi hama mtaa. Chukua tahadhari mapema na hujasema kama mnatumia kondom au la maana katika hilo jambo unapaswa ujiamini wewe mwenyewe tuWasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Huwa najaribu kumshauri katika hilo la kuamini Nampenda na kumtaka atulie nami ingawa huwa simwambii moja kwa moja bali kwa kutumia mifanoKwanza hongera kwa kuwa mkweli kwamba unampenda changudoa na kwa maelezo yako nadhani pia na yeye anakupenda.Hapa kuna mawili Mkuu moja umshawishi aachane na hiyo biashara yake ili muendelee na penzi lenu (Je, utaweza kumtimizia matakwa yake kwa pesa atakayoikosa kwa kuachana na uchangudoa?) au uendelee kumpenda huku ukiendelea kuumia moyoni kila umuonapo akishushwa na wateja wake karibu kila asubuhi baada ya kugegedwa usiku kucha.
Maamuzi ni yako moyo wako na akili inabidi viwe page moja ili uweze kuamua nini cha kufanya. Kila la heri na baraka.
hapa nimejifungia room kuogopa kuumia pale atakapo rudishwa. Naishi kwa mateso na maumivu sana. Hii nyumba nimeiona ChunguAkuombe samahani kwa lipi Mkuu wakati hiyo ndiyo shughuli yake inayompatia kula yake? Hata kama atakuomba samahani itakuwa ni ya kinafiki na baadaye tena leo huyoooo anaingia kwenye night shift.
hapa nimejifungia room kuogopa kuumia pale atakapo rudishwa. Naishi kwa mateso na maumivu sana. Hii nyumba nimeiona Chungu
Kuhusu CHRISTINA wangu huko sina mashaka. Licha ya Kupatwa na hili janga lakini still natimiza wajibu wangu kama baba.Pole. Najua unachopewa ndio kinakufanya ushindwe kutoka. Muwazie pia Christina akikosa baba itakuwaje. Unapenda aje awe nae anashushwa na magari. Huo wivu anaosema ni uongo maana yeye anachofanya hawezi kuwa na wivu. Kama vipi hama mtaa. Chukua tahadhari mapema na hujasema kama mnatumia kondom au la maana katika hilo jambo unapaswa ujiamini wewe mwenyewe tu
Nataka nianze mchakato wa kuhamisha kimoja kimoja bila kumgutusha. sijawahi tendewa hili wala kupenda hiviHama Mkuu kama unaweza kufanya hivyo haraka itakuwa poa sana, hiyo ndiyo itakuwa ahueni yako na kama utafanikiwa kuhama potezea namba yake.
Nataka nianze mchakato wa kuhamisha kimoja kimoja bila kumgutusha. sijawahi tendewa hili wala kupenda hivi
Pole sana bahati mbaya mapenzi ni upofu, mtu miezi michache iliyopita kabla ya kukutana na huyu angekwambia utampenda changundoa kiasi hiki ungemkatalia kabisa tena kata kata, lakini angalia jinsi ulivyo ndembe ndembe kwa penzi la changudoa.
When a man loves a woman
Can't keep his mind on nothin' else
He'd trade the world
For a good thing he's found
If she is bad, he can't see it
She can do no wrong
Turn his back on his best friend
If he puts her down
When a man loves a woman
Spend his very last dime
Trying to hold on to what he needs
He'd give up all his comforts
And sleep out in the rain
If she said that's the way
It ought to be
When a man loves a woman
I give you everything I got (yeah)
Trying to hold on
To your precious love
Baby please don't treat me bad
Maamuzi Yanapotawaliwa Na Hisia Zaidi Kuliko Upeo Wa Kufikiri Ni Hatari Sana.Wasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Hiyo Inaonyesha Ni Jinsi Gani Hajali Kuhusu Hisia Zako Juu Yake. Mtu Ambaye Hajali Kuhusu Hisia Zako Hawezi Kuwa Anakupenda Kwa Dhati.nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Tatizo Lililopo Ni Kwamba Hakupendi, Usidanganyike Na Kauli Zake Wakati Haziendani Na Matendo.Kinachoniuma ni Penzi lililoanza kumea moyoni mwangu. Hata yeye anakili kuwa ananipenda lakini tatizo sijajua liko wapi
Sina akili za kipuuzi kama unavyofikiria. Waulize wanaoijua hii Id wakwambie. Au tizama kwenye prfl then unifananishe na hao wajinga wenzako. Nipo hapa nikitafuta msaada wa kuachana na hili tatizo, sipo hapa kuuza chai wala kutafuta malaya. Nifuatilie Utajua Ibra87 ni nani hapa jf.Jana kuna IBRA gulsni alikuwa snatafuta jimama lenye pesa hata kama Lin'sa ukimwi wadau sio huyu??
Wasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Ni mchaga kabisaa tena wa machame. Nimehakiki hilo, na nimethibitisha hilo. Nadhani ameamua kuitafuta pesa kwa mtindo huu. Halioni wala kujali kile ninacho jisikia kwakeduuuh walai vile huyo binti sio mchaga ? MCHAGA NA MAPENZI WAPI NA WAPI?? INGEKUWA PESA NINGEKUBALI,,LAKINI MAPENZI KWETU NI EXTRA ...MCHUNGUZE VIZURI ANATOKEA MKOA GANI...
Kama bado umemchunia na yeye amekausha basi endelea kumchunia kwa wiki moja hadi mbili...ukifanikiwa hapo basi huna hata haja ya kuhama...utakuwa umemuonyesha kwamba unaweza kuishi bila yeye na baadae tafuta mwingine anayekufaa zaidi na kata kabisa mawasiliano nae.