covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa.
Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine.
Nawezaje kuitoa hii.
NB: nimejaribu baadhi ya code ila hakuna kitu..