Rahisi tu kutoa, piga ##21# itatoka..Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa.
Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine.
Nawezaje kuitoa hii.
NB: nimejaribu baadhi ya code ila hakuna kitu..
Piga ##002#Nilishafanya hii ila bado imegoma.
Tatizo limeanzia kwenye id yakoNimeangalia angaliabonline naona nimezua tatizo lingine tena please kwa anayejua pia jinsi ya kuondoa virus kwa simu ..anisaidie
View attachment 2454313
Toa app usizotumia, hasa zisizo na majina, nenda setting kisha apps kisha shuka chini kabisa ukiona apps hazina majina zitoe.Nimeangalia angaliabonline naona nimezua tatizo lingine tena please kwa anayejua pia jinsi ya kuondoa virus kwa simu ..anisaidie
View attachment 2454313