Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Kwanini umuue. ..kwani wewe ndiye mwenye haki pekee ya kuishi duniani. .....yaani mtu unaongelea kuua kiumbe as if ni normal thing kweli..?
Kwahiyo avumilie usumbufu wao?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyo ni binaadamu ana uwezo mpana wa kufikiri kuliko huyo paka. .bado Kuna njia nyingi tu ambazo anaweza kuzitumia zikasaidia kuto muhusu huyo paka kufika hapo. ..kuliko kumdhulumu haki yake ya kuishi
huyo paka ni mwizi na siyo kwamba anakaa kwake, yani huyo kazi yake ni kuja kuiba mayai na vifaranga na kutokomea kusikojulikana. Tufanye nyoka yupo kitandani kwako na kagoma kutoka utahama?? AU ANAKUJA JAMBAZI ANAKUPIGA SANA NA KUTAKA KUKUUA UKIBAHATIKA KUMZIDI UTAMUACHA??
Tuache utani mshauri jamaa sumu nzuri ya kuua huyu paka shume mwizi anayerudisha maendeleo yake nyuma.
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Dogo shule mnafungua tarehe ngapi?
 
Hahaa sasa niweke vipi. .wakati huyo jamaa yako hata kufuga mbwa hataki. .. waweza kukuta hata miundo mbinu ya makazi anayolaza mifugo yake ni mibovu. ..inamruhusu huyo paka mtafuta kitoweo kuweza kupenya kwa wepesi nakujipatia vitoweo vyake. ...

Hadi hivi sasa mimi sijaona kosa la huyo paka hapo. .kwa sababu hiyo ni nature yake. .kama jinsi ambavyo sisi binaadamu tunavyo kula mbuzi. Samaki. Kuku etc. ..wenyewe hawapendi kuliwa ila kwa kuwa ni nature ya ulimwengu ndivyo ilivyo hawana lakufanya. ....
Tuwekee hizo njia hapa mkuu ukiachana na hio ya kufuga mbwa.
 
Yeye hana utashi wa kufikiri kama huo ulionao wewe. ...so yakupasa utumie akili yako vyema ili uweze kuilinda mifugo yako pasipo kuathiri haki ya kuishi ya viumbe wengine
Kwa mini ale mayai ambayo yangetoa kuku wa kutosha, kwani yeye ndiye mwenye haki ya kuishi duniani?
 
TAFUTA MBWA MKUBWA MKALI UONE PAKA ANAVYOHAMISHA MAKAZI NA HAWATAKANYAGA KWAKO TENA.
KUMBUKA KUWA UKIFUGA MBWA KOKO ATAPIGWA MAKOFI NA PAKA HADI ACHAKAE.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi Jf mnavuta bhangi watu au???
 
Nimeanza kukuelewa sasa, maana juzi ulisema (nyoka koboko anakusumbua njiani unataka kumuua leo unadai paka. Hii nchi hii,
 
N
Hahaa sasa niweke vipi. .wakati huyo jamaa yako hata kufuga mbwa hataki. .. waweza kukuta hata miundo mbinu ya makazi anayolaza mifugo yake ni mibovu. ..inamruhusu huyo paka mtafuta kitoweo kuweza kupenya kwa wepesi nakujipatia vitoweo vyake. ...

Hadi hivi sasa mimi sijaona kosa la huyo paka hapo. .kwa sababu hiyo ni nature yake. .kama jinsi ambavyo sisi binaadamu tunavyo kula mbuzi. Samaki. Kuku etc. ..wenyewe hawapendi kuliwa ila kwa kuwa ni nature ya ulimwengu ndivyo ilivyo hawana lakufanya. ....
Hebu weka picha yako mkuu, tusije kua tunachat na paka mtu hapa.
😂😂😂😂
 
Chukua sumu ya panya changanya na chochote hata matumbo ya samaki tegea kule wanaenda kuingia

Nimewah kushuhudia hii inatesa kuona unafuga mifugo ikupe maendeleo halaf Kuna kiumbe anakurudisha nyuma nanamna ya kumdhibiti ipo hata panya majumbani mwetu wakizidi lazima tuwataftie suluhisho la kuwaua na so kuwafukuza
 
Back
Top Bottom