Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππN
Hebu weka picha yako mkuu, tusije kua tunachat na paka mtu hapa.
ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππN
Hebu weka picha yako mkuu, tusije kua tunachat na paka mtu hapa.
ππππ
sijawahi leta habari za nyoka mkuuNimeanza kukuelewa sasa, maana juzi ulisema (nyoka koboko anakusumbua njiani unataka kumuua leo unadai paka. Hii nchi hii,
Fuga Mbwa mkali mkuu,Mambo ya kuua ua muachie Mungu mwenyewe.
Mwe mwe mwe mweeeeeeeee!.,Ume
sijawahi leta habari za nyoka mkuu
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.
Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Ahsamte sana madamChukua sumu ya panya changanya na chochote hata matumbo ya samaki tegea kule wanaenda kuingia
Nimewah kushuhudia hii inatesa kuona unafuga mifugo ikupe maendeleo halaf Kuna kiumbe anakurudisha nyuma nanamna ya kumdhibiti ipo hata panya majumbani mwetu wakizidi lazima tuwataftie suluhisho la kuwaua na so kuwafukuza
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kwa jinsi nilivyo siwezi kuchanganya utumbo wa samaki na sumu lazima hamu ya kula iniijie na nile huo utumbo.Chukua sumu ya panya changanya na chochote hata matumbo ya samaki tegea kule wanaenda kuingia
Nimewah kushuhudia hii inatesa kuona unafuga mifugo ikupe maendeleo halaf Kuna kiumbe anakurudisha nyuma nanamna ya kumdhibiti ipo hata panya majumbani mwetu wakizidi lazima tuwataftie suluhisho la kuwaua na so kuwafukuza
karibuAhsamte sana madam
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kwa jinsi nilivyo siwezi kuchanganya utumbo wa samaki na sumu lazima hamu ya kula iniijie na nile huo utumbo.
Siwezi kumpa paka utumbo, bora nile mwenyewe nife yeye abaki.
Mpe njia bora ya kuua paka we mwenyewe una kula ndege na nyama walio chinjwa bila huruma..Utamuoneaje huruma paka anaye ua panya na kuku muaji lazima auliweHuyo ni binaadamu ana uwezo mpana wa kufikiri kuliko huyo paka. .bado Kuna njia nyingi tu ambazo anaweza kuzitumia zikasaidia kuto muhusu huyo paka kufika hapo. ..kuliko kumdhulumu haki yake ya kuishi
Hata kama hayaliwi ila siwezi kuona paka anayala, bora niyale mimi.[emoji3][emoji3]matumbo ya samaki mengine hayaliwi bana Tena wakisikia harufu ya shombo watakuja mbiombio wakaribie kifo chao
Hahahaaaaa nimecheka hadi nimelala chini[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kwa jinsi nilivyo siwezi kuchanganya utumbo wa samaki na sumu lazima hamu ya kula iniijie na nile huo utumbo.
Siwezi kumpa paka utumbo, bora nile mwenyewe nife yeye abaki.
Hata kama hayaliwi ila siwezi kuona paka anayala, bora niyale mimi.
Paka ufunge mlango? duh! siamini kama utamuua kirahisiSisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.
Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Huamini wewe ila mimi nilikuwa nawaaua hivyo.Paka ufunge mlango? duh! siamini kama utamuua kirahisi
Una sime lako au panga lako kata kichwa kata miguu pasua tumbo au korodani hiyo ndio njia nzuri kuwaingiza ndani na kufunga mlango sijawai kuona faida ya paka dunianiPaka ufunge mlango? duh! siamini kama utamuua kirahisi
[emoji16] [emoji16] [emoji16] we jamaa banaSisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.
Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Husalimiki hata Kidogo. Wewe nenda ofisi za mifugo, Halmashauri. Watakuja kuwaua kihalali na kwa gharama nafuu.Mkuu Viatu vya Samaki , humo ndani paka watano nitasalimika kweli? Nataka sumu ya kumuua. Ile ya panya haifai?