Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Nitatafuta njia bora ya kuwadhibiti na sio kuwa ua ---mbona wewe unakula nyama ya Samaki. Mbuzi. Ng'ombe na hau uliwi
Sasa si nanunua??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha. .dah! !! Kwahiyo hapa ndio umejitetea. ..?? Kununua kwako ni sehemu moja wapo ya kuhalalisha Mauaji ya viumbe hao
Sasa si nanunua??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha. .dah! !! Kwahiyo hapa ndio umejitetea. ..?? Kununua kwako ni sehemu moja wapo ya kuhalalisha Mauaji ya viumbe hao
Biblia[emoji23][emoji23][emoji23]sasa paka je nani kamhalalishis kuiba??
 
Kwa utashi wa paka hajaiba Bali amejitafutia riziki kisha ameipata. ..kwani paka wame tungiwa sheria za namna ya kuishi iwe za kidini au za kidunia. ...

Kwani paka Wana Dini na serikali? ?....

Nakuona tu unavyo jitia uchizi usio kuwa nao
Biblia[emoji23][emoji23][emoji23]sasa paka je nani kamhalalishis kuiba??
 
Hivi kuna watu bado mnaua wanyama karne hii kweli? Achana na huyo kiumbe tafadhali. Ulizia njia ya kumuondoa maeneo yako anayokusumbua. Unaweza ukamdaka mtego kama ule wa samaki. Then akiingia humo,unaubeba huo mtego mpaka polini,umbali mrefu mashambani huko,fungua mtego iwe rahisi kwake kutoka kwenye hiyo mtego,bila kudhurika tafadhali usimuue
Hapo si una hamisha tatizo?
 
Mkuu wameiba mayai yangu na kuku wamekula saiz nna kuku 3 tuuu out of 15.... Nayachukia haya mapaka
Mkuu upo Kama Mimi ,kuku wangu watatu wametotoa changamoto imekuja juu ya kuwalinda na "paka moja jizi hapa nyumbani"
 
Wewe
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Huwajui paka vizuri kumbe
 
Tusaidiane kidogo. Sumu ya panya inaua paka Lakini mpaka uipake kwenye nyama ambayo akiila itakaa muda mrefu tumboni. Lakini ukiweka kwenye chakula chenye kuyeyuka haraka kama ugali na wali, paka hawezi kufa.
Jaribu vidonge vya Indocyn. Nyunyizia unga wake kwenye mabaki ya chakula, mabaki ya nyama ni bora zaidi. Kisha changanya , na uuweke mchanganyiko kwenye sehemu wanapopita paka hao.
Paka akila mabaki yaliyochanganywa na unga wa Indocyn atalewa na kuishiwa nguvu utamkuta akiwa hoi kisha atakufa bila shaka.
Kwa panya, vijiko viwili vya unga wa Donna, changanya na unga wa Indocyn capsules mbili weka sehemu wanayopita utawakuta wamelewa watupe nje. Kalagha bahho.
 
Tafuta mzoga wa kuku, weka sumu kali kutoka maduka ya madawa ya mifugo, mpasue kati kati, jaza sumu........ Subiri kuona kimya kizito pasipo kusumbuliwa
Ahsante sana. Sumu kama ipi mkuu? Dawa Ipi inamuua 5
Mi nilitega sumu ya panya paka wawili ambao ni wasumbufu wamekufa mtaani.
naanza na hii mkuu. Ngoja niwanunulie samaki kabisa kesho na sumu ya panya wakajirambe huko
 
subutuuuu! mdanganye wamng'oe Pumbz
Ahahaaaaaaaahaa....! Bora umestukia. Maana huyo mnyama hatari,ni mfano wa chui,hasa akizingirwa hana pa kukimbilia,anakuralua
 
Kwa utashi wa paka hajaiba Bali amejitafutia riziki kisha ameipata. ..kwani paka wame tungiwa sheria za namna ya kuishi iwe za kidini au za kidunia. ...

Kwani paka Wana Dini na serikali? ?....

Nakuona tu unavyo jitia uchizi usio kuwa nao
Unatetea pakaa kuibaa kuku???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu utakuwa una shida mahalii...
 
Hili ndio tatizo kubwa la wabongo, amwachie Mungu ili iweje?ndio mana tuna fell sana nchi hii
unafeli wapi?wewe ni nani kuwa na mamlaka ya kutoa roha za viumbe?Mimi kama scout hiyo ni kanuni yetu ya nne kuhurumia viumbe hai.punguza roho mbaya.
 
Back
Top Bottom