Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Mkuu Viatu vya Samaki , humo ndani paka watano nitasalimika kweli? Nataka sumu ya kumuua. Ile ya panya haifai?


Chukua kipande cha nyama anachoweza kukimeza au kukitafuna, kichome kiive kiasi halafu chukua office pins kadhaa kama sita zikate nusu chukua zile pande zenye ncha na uzichomeke katikati ya ile nyama halafu kamtegeshee huyo pusi,

Kitakachotokea sikuambii, utakuja simulia hapa JF.

NB:] Chomeka hizo pini katikati ya hiyo nyama, atakapokuwa akitafuna zita mchoma mdomoni kwa uroho na ujinga wake ili kujihami ataamua kuimeza hiyo nyama-- hapo sasa ndipo Wamakonde waliposema; "uchimeje wala uchiteme wala uchimumune".😁😁
 
Hivi kuna watu bado mnaua wanyama karne hii kweli? Achana na huyo kiumbe tafadhali. Ulizia njia ya kumuondoa maeneo yako anayokusumbua. Unaweza ukamdaka mtego kama ule wa samaki. Then akiingia humo,unaubeba huo mtego mpaka polini,umbali mrefu mashambani huko,fungua mtego iwe rahisi kwake kutoka kwenye hiyo mtego,bila kudhurika tafadhali usimuue
Linarudi chap hususan yale meusi
 
Unataka hao paka wakale wapi? Wakanunue mikate supermarket? Jenga uzio bora ufuge kuku kistaarabu!
 
Nunua sumu Kali kama nne hivi..
Tena zile Kuuliwa wadudu hasa Viwavi jeshi
Afu mix pamoja
Chukua nyama au chochote atakachokuja kula watege watakuja na kufa kifo kibaya ..
Mpaka Nzi watakufa
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.

Ha ha ha ha ha, we jamaa sio mtu mzuri hata kidogo, mpaka mmoja tu asiyekuwa shume kumfungia ndani, halafu umuadhibu ni hatari..... Halafu unamshauri mwenzio awafungie watano tena shume, ama kweli humpendi hata kidogo.....
 
Ha ha ha ha ha, we jamaa sio mtu mzuri hata kidogo, mpaka mmoja tu asiyekuwa shume kumfungia ndani, halafu umuadhibu ni hatari..... Halafu unamshauri mwenzio awafungie watano tena shume, ama kweli humpendi hata kidogo.....
Mimi mbona nimewaua sana!
 
Back
Top Bottom