Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
Huyo paka kazoea kula nyama mbichi...ili aache inabidi ukipika kuku uwe unamuwekea kipaja na mchuzi akizoea michuzi ataacha kula vibichi. Pia ukikaanga mayai muwekee na yeye had azoee vya kupikwa.

Ni matumaini yangu ukifanya hivi ataacha kuiba kuku na mayai, ataanza kuiba mboga
 
Wewe acha upumbavu hakuna sehemu yoyote duniani unaweza kumuua paka kwanjia hiyo aliyosema huyo jamaa. Labda sio paka ila kama paka hawa wanaofungwa majumbani nakushauri zitafute habari zao kwanza. Kama hujavaa mavazi yakujikinga kushambuliwa huwezi muua naukifanya kulazimisha utakufa wewe sio yeye akikuulumia sana atakuacha ukiwa kipopu.huyo viatu vyasamaki anafurahisha watu tu!ushawahi kusikia ule usemi wa paka anaroho saba?mbwa mwenyewe anaeweza kumuua paka awe mbwa kweli lakini mbwa mwenyewe anamuogopa.paka anauwa hadi nyoka unacheza napaka wewe!
aisee we jamaa jasiri duh! sisi huku dar sijui kama inawezekana hiyo mmh! lazima mtu upige yowe la msaada
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Wee Semenya unamaanisha nyumbani kwa shemeji yako?
 
Sisi zamani tulikuwa tunaacha mlango wa nyumba wazi na huko ndani tunaweka mzoga wa kuku au nyama yoyote ile. Usiku tunalala wanakuja na kuingia ndani na kisha tunaanza kuwashambulia baada ya kufunga mlango.

Tulikuwa tunawaua sana, wanaweza kuingia hata watano, tukifunga mlango humo ndani ni vurugu hadi wafe wote.
Mkuu unataka wamrestishe ini pisi?😁😁😁 paka yeyote usimtanie,wadogo zake chui
 
Nyie vijana nyie hatari sana. Niecheka sana yani.
Hapa ni mbinu za kuua paka shume tu?
IMG_20190511_024607.jpeg
 
Linarudi chap hususan yale meusi
Wananisukia ule (mgono) ni mtego wa samaki,siku hizi mingine wanatengeneza ya kutegea panya. Unakuwa na tundu la kutosha kuingia huyo mnyama. Wanasukia matete au vipande vya mianzi. Huku nyuma mwisho nako kunakuwa na tundu kubwa kwa juu,unachomeka matambala kwa kutokea ukimnasa. Akiingia nachukua mtego naweka nyuma ya gari,au nampa kazi bodaboda, wanayapeleka huko polini ni umbali wa kilometa 30,40 hivi. Huwa harudi
 
Yaani ale kuku zangu halafu nitumie gharama yote hii? Dawa hapo ni kuuzamisha mtego kwenye maji au kulitia moto kabisa, aseeeeh
 
Kwanini umuue. ..kwani wewe ndiye mwenye haki pekee ya kuishi duniani. .....yaani mtu unaongelea kuua kiumbe as if ni normal thing kweli..?
Lakini huyo paka shume si nae anaua kuku? tena wengine pengine wana vifaranga.
 
Mbona wewe unashiriki kula nyama ya kuku. Mbuzi. Na haujauliwa. ...

Then wewe ni binaadamu una utashi mkubwa-... haupaswi kujifananisha Kifikira na Mnyama...Wanyama wanao kula nyama kuwinda ni asili yao. ...yaani waneumbwa kuwa hivyo ''" so kosa Lao wao ni lipi. ..wakati hawakuchagua kuwa hivyo ila nature ya ulimwengu ndio iliwaamulia hiyo lifestyle if ungekuwa umeumbwa paka na wewe ungekuwa na attitude kama ya huyo paka shume tu
Lakini huyo paka shume si nae anaua kuku? tena wengine pengine wana vifaranga.
 
Nakula kuku mfu. .Lakini angalau huwa sishiriki katika kumdhulumu uhai wake. ...Pia kama isingekuwa kukulia kwenye mazingira yanayo halalisha mauaji ya kuku. .nisingelikuwa Nakula nyama yao kabisa
Samahan mkuu!! We ni kabila gani mbona una huruma hivyo
 
Mbona wewe unashiriki kula nyama ya kuku. Mbuzi. Na haujauliwa. ...

Then wewe ni binaadamu una utashi mkubwa-... haupaswi kujifananisha Kifikira na Mnyama...Wanyama wanao kula nyama kuwinda ni asili yao. ...yaani waneumbwa kuwa hivyo ''" so kosa Lao wao ni lipi. ..wakati hawakuchagua kuwa hivyo ila nature ya ulimwengu ndio iliwaamulia hiyo lifestyle if ungekuwa umeumbwa paka na wewe ungekuwa na attitude kama ya huyo paka shume tu
Nina wasiwasi mkuu hadi uweke picha yako hapa hahaha.
 
Hao ni kipigo tu juZi nmeua paka pori mmoja kwa marungu na jion yake nmeua mbwa koko kwa kipigo cha mawe na marungu ya kichwa sitaki utani na kuku wangu
 
Back
Top Bottom