Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

Niliwahi fikiria hii kuuza mahindi nikafanya utafiti Masoko ya Dar aisee Mtaji wa Milioni 30 unapata faida ya 1M kwa ku hustle sana
Mkuu ukitaka kurely kwenye faida tu huwezi kufanya biashara yoyote faida inatengenezwa haiji tu kazi ya uwakala ni kazi nzuri sana kwa upande wangu
 
Mkuu ukitaka kurely kwenye faida tu huwezi kufanya biashara yoyote faida inatengenezwa haiji tu kazi ya uwakala ni kazi nzuri sana kwa upande wangu
20M mkuu kuipata tu ni mbinde sasa hustle zake mwezi mzima upate 1M ni pesa ndogo hata matumizi ya familia haitoshi
 
20M mkuu kuipata tu ni mbinde sasa hustle zake mwezi mzima upate 1M ni pesa ndogo hata matumizi ya familia haitoshi
Ukipata eneo zuri ukachanganya uwakala wa bank na uwakala mkuu huwezi pata 1m per month ni ndogo sana

Usikariri faida anayopata mtu faida inategemea na juhudi huenda huyo aliopata 1m siku za mpira hafungui jpil watu wanapiga miamala kibao yeye kafunga ckukuu siku za kutumia ndugu pesa yeye kafunga unategemea nini

Kila biashara inalipa na kuna watu imewatoa na pia kila biashara hailipi na kuna watu imewafia baki hapo mkuu
 
Back
Top Bottom