Hivyo vidude kipengele mi ninacho kwa droo niliwahi hangaika nacho kwa wanaigeria, wahindi, wachina na wafilipino lakini wapi, zamani kidogo ndo vilikua vinatoka lock kabla hawajapush updates za firmware..Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele