W Wirsung Member Joined Sep 2, 2023 Posts 8 Reaction score 3 Sep 13, 2026 #1 Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele
Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,214 Reaction score 10,169 Sep 19, 2026 #2 Wirsung said: Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele Click to expand... Hivyo vidude kipengele mi ninacho kwa droo niliwahi hangaika nacho kwa wanaigeria, wahindi, wachina na wafilipino lakini wapi, zamani kidogo ndo vilikua vinatoka lock kabla hawajapush updates za firmware..
Wirsung said: Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele Click to expand... Hivyo vidude kipengele mi ninacho kwa droo niliwahi hangaika nacho kwa wanaigeria, wahindi, wachina na wafilipino lakini wapi, zamani kidogo ndo vilikua vinatoka lock kabla hawajapush updates za firmware..