sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Oct 18, 2021 #1 Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Oct 18, 2021 #2 Arudi Kazini Kisha aumwe tena Bosi atampumzisha mwenyewe kwa sababu ya udhaifu na upungufu wa uwezo wa kufanya kazi. Kisha atalipwa stahiki zake. Nb. Doctor athibitishe.
Arudi Kazini Kisha aumwe tena Bosi atampumzisha mwenyewe kwa sababu ya udhaifu na upungufu wa uwezo wa kufanya kazi. Kisha atalipwa stahiki zake. Nb. Doctor athibitishe.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Oct 18, 2021 Thread starter #3 Kirchhoff said: Arudi Kazini Kisha aumwe tena Bosi atampumzisha mwenyewe kwa sababu ya udhaifu na upungufu wa uwezo wa kufanya kazi. Kisha atalipwa stahiki zake. Nb. Doctor athibitishe. Click to expand... Asante sana kiongozi...so Dr anatakiwa athibitishe kwa utaratibu gani?
Kirchhoff said: Arudi Kazini Kisha aumwe tena Bosi atampumzisha mwenyewe kwa sababu ya udhaifu na upungufu wa uwezo wa kufanya kazi. Kisha atalipwa stahiki zake. Nb. Doctor athibitishe. Click to expand... Asante sana kiongozi...so Dr anatakiwa athibitishe kwa utaratibu gani?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Oct 18, 2021 #4 Hakuna haja ya kumkomoa muajiri, afanye mazungumzo na mwajiri na amueleze changamoto alizonazo; muajiri atampatia abc
Hakuna haja ya kumkomoa muajiri, afanye mazungumzo na mwajiri na amueleze changamoto alizonazo; muajiri atampatia abc