Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza unatakiwa uwe baunsa mwenye macho mekundu. pili, andaa marugu ya kutosha kila rungu liwe uzito usiopungua 2.5kgs. Ukikamilisha nipm.
Mkono wa mjinga huandika chochote na popote. Utoto utoto wako upeleke kwa watoto wenzako. Usipende kuharibu mada za wengine. Kama hufahamu, bettet nyamaza.Kwanza unatakiwa uwe baunsa mwenye macho mekundu. pili, andaa marugu ya kutosha kila rungu liwe uzito usiopungua 2.5kgs. Ukikamilisha nipm.
Nenda kwa OCD alie katika wilaya yako ya kipolisi atakupa maelekezo manake la kwanza unatakiwa kumwandikia barua IGP kuomba kupewa ruhusa ya kuanzisha kampuni ya ulinzi, watataka kuona umejipangaje na utatumia vifaa na watu wa aina gani na pia sare zimekaaje na zisifanane na za majeshi yote, watawapeni police clearance certificate kwanza nyinyi wamiliki kama hamna rekodi mbaya, utajibiwa haraka na IGP na kupewa masharti unaposajili sasa BRELA kwamba utoe ushirikiano na Taasisi zingine za serikali mfano NSSF. Kumbuka kuwa na ofisi na sanduku la posta, kama uko Dar unaweza pia kwenda kwa Mkuu wa Police jamii pale HQ; rafiki kama nawesa sawadia ili mutu japo focha kidogo basi wewe nayo kambuni kwa wiki mbili tu! Salimia mama yeyoo
1.Tafuta leseni/usajili wa kampuni.
2.Tafuta kibali( this aproved by RPC's}
3.Lazima uwe /upate kibali cha kumiliki silaha
4.Uwe na vitendea kazi muhimu ktk kampuni ya ulinzi kama uniform,uwezo wa kuwalipa wafanyakazi,mikataba n.k
5.Mwanasheria wa kampuni.
6.Mtaji usiopungua milion 20.
NB: Kwa Tanzania yetu yote hayo waweza kuyakamilisha ndani ya wiki moja.
salaam, wana wa jf. Katika kujiongezea kipato, ninataka kuanzisha kampuni ya ulinzi. Naomba mwenye abc za kuniwezesha kuwa na kampuni hiyo, anielekeze. Wasalaam
Vipeperushi na bcard unafanya bei gani?Cha kwanza nenda kasajiri company yako brela ukimalizana hapo
nenda wizara ya ulinzi ukajisajiri na nenda ukachukue form za tin iili kupata tin no ya co. Yako, baada ya hapo uwe na leseni pia ni muhimu mkuu
ukimaliza hapo njoo kwangu nikutengenezee vitabu vya receipt, business card, vipeperushi, na uniforms za wafanyakazi wako pia nafanya huuduma hizi karibu kwa huduma
Salaam, wana wa Jf. Katika kujiongezea kipato, ninataka kuanzisha kampuni ya ulinzi. Naomba mwenye ABC za kuniwezesha kuwa na kampuni hiyo, anielekeze. Wasalaam