Msaada: Namna ya kuanzisha kampuni ya ulinzi

Msaada: Namna ya kuanzisha kampuni ya ulinzi

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Salaam, wana wa Jf. Katika kujiongezea kipato, ninataka kuanzisha kampuni ya ulinzi. Naomba mwenye ABC za kuniwezesha kuwa na kampuni hiyo, anielekeze. Wasalaam
 
Ninafanya kaz katika kampuni ya ulinzi kwa hyo ninajuana na watu wenye ujuz na uzoefu wa muda mrefu.ni pm nitakuunganisha nao kwa mawasiliano zaidi
 
Nenda kwa OCD alie katika wilaya yako ya kipolisi atakupa maelekezo manake la kwanza unatakiwa kumwandikia barua IGP kuomba kupewa ruhusa ya kuanzisha kampuni ya ulinzi, watataka kuona umejipangaje na utatumia vifaa na watu wa aina gani na pia sare zimekaaje na zisifanane na za majeshi yote, watawapeni police clearance certificate kwanza nyinyi wamiliki kama hamna rekodi mbaya, utajibiwa haraka na IGP na kupewa masharti unaposajili sasa BRELA kwamba utoe ushirikiano na Taasisi zingine za serikali mfano NSSF. Kumbuka kuwa na ofisi na sanduku la posta, kama uko Dar unaweza pia kwenda kwa Mkuu wa Police jamii pale HQ; rafiki kama nawesa sawadia ili mutu japo focha kidogo basi wewe nayo kambuni kwa wiki mbili tu! Salimia mama yeyoo
 
Wana JF

Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya ulinzi. Mwenye ufahamu wa hatua za kufuatwa ili niweze kuanzisha kampuni hiyo, naomba anisaidie
 
Kwanza unatakiwa uwe baunsa mwenye macho mekundu. pili, andaa marugu ya kutosha kila rungu liwe uzito usiopungua 2.5kgs. Ukikamilisha nipm.
 
unatakiwa uwandae memorundam of association na article of asossiation zikiwa tayari peleka kwa mkuu wa mkoa wa eneo unalotegemea kuweka ofsi yaani mkoa husika akisha ipitisha atakusambia kupiga finga print lakin kwenye memorudum na article lazima uonyeshe hiyo kampuni mnashare nas mtu au ni yAKO MWENYEWE na kama mnashare ni uwiano wa kiasi gani na tunategemea mwenye hisa kubwa ndo ATAKUWA MKURUGENZI WA WAKURUGEBZI BAADA YA KUTOKA KWA MKUU WA MKOA UNAENDA BRELA KUSAJIRI KAMPUNI ILI UPATE KIBARI CHA KUCHUKUA TIN NUMBER KUTOKA TRA BAADA YA HAPO UNANZA ANDA WALINZI NA ANZA KUTAFUTA WAL MALINDO LAKINI KUMBUKA WATEJA WENGINE WANAPENDA KUONA BANK STATEMENT UYAKO HVYO JITAHIDI UWE NAA KIANZIO KISICHOOPUNGUA 5m kwenda juu kwa ajiri ya kudanyia kwamba kwamba kampuni ina uwezo wa kulipa hasara itakayotokea
 
Kwanza unatakiwa uwe baunsa mwenye macho mekundu. pili, andaa marugu ya kutosha kila rungu liwe uzito usiopungua 2.5kgs. Ukikamilisha nipm.
Mkono wa mjinga huandika chochote na popote. Utoto utoto wako upeleke kwa watoto wenzako. Usipende kuharibu mada za wengine. Kama hufahamu, bettet nyamaza.
 
Nenda kwa OCD alie katika wilaya yako ya kipolisi atakupa maelekezo manake la kwanza unatakiwa kumwandikia barua IGP kuomba kupewa ruhusa ya kuanzisha kampuni ya ulinzi, watataka kuona umejipangaje na utatumia vifaa na watu wa aina gani na pia sare zimekaaje na zisifanane na za majeshi yote, watawapeni police clearance certificate kwanza nyinyi wamiliki kama hamna rekodi mbaya, utajibiwa haraka na IGP na kupewa masharti unaposajili sasa BRELA kwamba utoe ushirikiano na Taasisi zingine za serikali mfano NSSF. Kumbuka kuwa na ofisi na sanduku la posta, kama uko Dar unaweza pia kwenda kwa Mkuu wa Police jamii pale HQ; rafiki kama nawesa sawadia ili mutu japo focha kidogo basi wewe nayo kambuni kwa wiki mbili tu! Salimia mama yeyoo

mkuu asante kwa maelezo yakinifu!

ubarikiwe, yani imebidi niyakopi na kupesti kwenye word ili nije niyasome kwa kina!!

hivi mkuu, initial capital inaweza kuwa Tshs ngapi vile?
 
Kufungua kampuni yoyote ile lazima kwanza upute Brela ili kusajiri, baada ya hapo ndio mengine hufuata.
 
1.Tafuta leseni/usajili wa kampuni.
2.Tafuta kibali( this aproved by RPC's}
3.Lazima uwe /upate kibali cha kumiliki silaha
4.Uwe na vitendea kazi muhimu ktk kampuni ya ulinzi kama uniform,uwezo wa kuwalipa wafanyakazi,mikataba n.k
5.Mwanasheria wa kampuni.
6.Mtaji usiopungua milion 20.
NB: Kwa Tanzania yetu yote hayo waweza kuyakamilisha ndani ya wiki moja.
 
Mchanganuo mzuri sana kaka..
 
Cha kwanza nenda kasajiri company yako brela ukimalizana hapo
nenda wizara ya ulinzi ukajisajiri na nenda ukachukue form za tin iili kupata tin no ya co. Yako, baada ya hapo uwe na leseni pia ni muhimu mkuu

ukimaliza hapo njoo kwangu nikutengenezee vitabu vya receipt, business card, vipeperushi, na uniforms za wafanyakazi wako pia nafanya huuduma hizi karibu kwa huduma
salaam, wana wa jf. Katika kujiongezea kipato, ninataka kuanzisha kampuni ya ulinzi. Naomba mwenye abc za kuniwezesha kuwa na kampuni hiyo, anielekeze. Wasalaam
 
Cha kwanza nenda kasajiri company yako brela ukimalizana hapo
nenda wizara ya ulinzi ukajisajiri na nenda ukachukue form za tin iili kupata tin no ya co. Yako, baada ya hapo uwe na leseni pia ni muhimu mkuu

ukimaliza hapo njoo kwangu nikutengenezee vitabu vya receipt, business card, vipeperushi, na uniforms za wafanyakazi wako pia nafanya huuduma hizi karibu kwa huduma
Vipeperushi na bcard unafanya bei gani?
 
Back
Top Bottom