RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Nenda ofisi yoyote ya TRA na TIN namba yako uliyokatia leseni ukiwa na loss report ya polisi,utapewa form ujaze na utaenda bank kulipia sh 41500/=then wataiona kwenye systeam na utapewa leseni yako.Habari za humu, kuna rafiki yangu alipoteza leseni yake ya kuendeshea gari na anahisi amepotezea porini na kuipata itakua ngumu.
Je kuna gharama kwa ajili ya kupata leseni mpya? maana hiyo alirenew November 2017.
Na je ni gharama ni kiasi gani?
Asanteni
Mmh mimi nikafikiri labda haitazidi 15000 maana jamaa karenew November mwaka jana.Nenda ofisi yoyote ya TRA na TIN namba yako uliyokatia leseni ukiwa na loss report ya polisi,utapewa form ujaze na utaenda bank kulipia sh 41500/=then wataiona kwenye systeam na utapewa leseni yako.
Nashukuru kwa majibu. Niko mkoani hata Mayfair plaza Mikocheni sipajui. Dar napajua Ubungo, Mwenge, Kariakoo, Posta na Feri tuNenda pale Mayfair plaza mikocheni ukiwa na leseni yako ya zamani, utapewa karatasi ya kulipia benki kiasi cha shillingi 40,000/=, then waulize urudi tarehe ipi kuja kuchukua leseni yako mpya, very simple