Piga *#21#
Kote inabidi iandike not forwaded, ukiona sehemu imeandika forwaded jua unafuatiliwa nenda kwenye settings uondoe au uombe msaada kisha piga tena *#21# kuhakikisha.
Kwa upande wa whatsapp ingia sehemu imeandikwa linked devices, itaonyesha orodha ya vifaa vinavyoweza kuchungulia message zako, kama vipo ondoa