Msaada: Namna ya kununua shiba coin

Msaada: Namna ya kununua shiba coin

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,128
Reaction score
7,899
Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal

Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza.

Nawasilisha.
 
Si utafute wallet wanayohold hizo coin hebu kajifanyie utafiti huko search crypto currency wallets utachagua huko na kujisajili Kisha ununue kikubwa angalia ulinzi,huduma na tunza password zako Kama unavyoificha namba ya mchepuko wako maana ukija isahau hiyo kwa baadhi ya wallet ndo hutapata halafu unakuta kitu ndo kimenoga sasa..😂
 
Wawekezaji wa aina hii ndo huwa wanapigwa. Jipe shule kidogo ya cryptoz kabla ya kuingia ili uwe na uwanja mpana kujua kwa mapana
 
Wawekezaji wa aina hii ndo huwa wanapigwa. Jipe shule kidogo ya cryptoz kabla ya kuingia ili uwe na uwanja mpana kujua kwa mapana
Mkuu nataka nijaribu maisha huenda mbeleni hizi coins zikaja kuishangaza dunia.. Sasa pa kuanzia ndio mtihani sasa sijui nianzie wapi, nataka nidumbukize hata 100k nifanye nimeipoteza tu then nisikilizie kwa miaka 10 ijayo
 
Ingia playstore tafuta "freewallet" utajiregister ndani ya hiyo app then unaweza nunua hiyo tocken kwa mastercard/visa card..
 
Brother Tumia crypto broker wanao aminika kama
Then jisajili hapo baada ya kujisajili nenda download app yao playstore / apple store, kisha fanya verification then nenda P2P nunua USDT kwa mpesa, tigo pesa etc baada ya hapo convert USDT zako kwenda kwenye SHIBAINU unazozitaka.

Ukikwama njoo PM nitakuelekeza zaidi.
 
Mkuu njoo PM nikuelekeze utanipooza na ya vocha😀

2966237_Screenshot_20211016-205041_Binance.jpg
 
Mkuu nataka nijaribu maisha huenda mbeleni hizi coins zikaja kuishangaza dunia.. sasa pa kuanzia ndio mtihani sasa sijui nianzie wapi, nataka nidumbukize hata 100k nifanye nimeipoteza tu then nisikilizie kwa miaka 10 ijayo
Unajuaje utafika hiyo miaka? Labda utakufa
 
Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal

Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza.

Nawasilisha.
Watanzania kwa kupenda mteremko tu. Unang'ang'ania na kujipeleka kupigwa. Hii nchi unaweza kusafir zaid ya kilomita 500 ukakutana na mapori mapana yasiyoendelezwa. Lakini watu wanajipeleka wenyewe kupigwa na kukabidhi hela zao kizembe.

Fanyeni kazi jamani. Hutakufa ukifanya kazi
 
We ni fala
 
Hizi issue kama maskhara mwosho wa siku mtu anatoboa mabilioni yake kimzaha mzaha tu
 
Akaunti ya kununua ni ipi? na unanunua kwa hawa wanaouza na kununua local bitcoin au kuna website nyingine?
 
Brother Tumia crypto broker wanao aminika kama
Then jisajili hapo baada ya kujisajili nenda download app yao playstore / apple store, kisha fanya verification then nenda P2P nunua USDT kwa mpesa, tigo pesa etc baada ya hapo convert USDT zako kwenda kwenye SHIBAINU unazozitaka.

Ukikwama njoo PM nitakuelekeza zaidi.
Ukishafika kwenye P2P kwenye payment method unachagua njia gani maana nimetafuta tigo pesa au mpesa haionekani ?

Which payment method nachagua ?
 
Back
Top Bottom