Mkuu nataka nijaribu maisha huenda mbeleni hizi coins zikaja kuishangaza dunia.. Sasa pa kuanzia ndio mtihani sasa sijui nianzie wapi, nataka nidumbukize hata 100k nifanye nimeipoteza tu then nisikilizie kwa miaka 10 ijayoWawekezaji wa aina hii ndo huwa wanapigwa. Jipe shule kidogo ya cryptoz kabla ya kuingia ili uwe na uwanja mpana kujua kwa mapana
Unajuaje utafika hiyo miaka? Labda utakufaMkuu nataka nijaribu maisha huenda mbeleni hizi coins zikaja kuishangaza dunia.. sasa pa kuanzia ndio mtihani sasa sijui nianzie wapi, nataka nidumbukize hata 100k nifanye nimeipoteza tu then nisikilizie kwa miaka 10 ijayo
Watanzania kwa kupenda mteremko tu. Unang'ang'ania na kujipeleka kupigwa. Hii nchi unaweza kusafir zaid ya kilomita 500 ukakutana na mapori mapana yasiyoendelezwa. Lakini watu wanajipeleka wenyewe kupigwa na kukabidhi hela zao kizembe.Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal
Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza.
Nawasilisha.
We ni falaWatanzania kwa kupenda mteremko tu. Unang'ang'ania na kujipeleka kupigwa. Hii nchi unaweza kusafir zaid ya kilomita 500 ukakutana na mapori mapana yasiyoendelezwa. Lakini watu wanajipeleka wenyewe kupigwa na kukabidhi hela zao kizembe.
Fanyeni kazi jamani. Hutakufa ukifanya kazi
Mi naijutia BNB na Solana hadi leo. Ilikuwa ikipanda naiona hivi hivi.BTC ilikua hivi hivi history hujirudia shauri yenuuu
Hahahaha nimechekaa dah.. sio poaaaWe ni fala
Ukishafika kwenye P2P kwenye payment method unachagua njia gani maana nimetafuta tigo pesa au mpesa haionekani ?Brother Tumia crypto broker wanao aminika kama
Then jisajili hapo baada ya kujisajili nenda download app yao playstore / apple store, kisha fanya verification then nenda P2P nunua USDT kwa mpesa, tigo pesa etc baada ya hapo convert USDT zako kwenda kwenye SHIBAINU unazozitaka.
Ukikwama njoo PM nitakuelekeza zaidi.