Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

Dah....hongera mkuu.....kitendo Cha kuwepo nyoka ndani ya chumba chako Ni dalili kuu ya kuonyesha kwamba unaishi kwenye mazingira mazuri na rafiki. Hutaona panya wala mijusi ndani ya nyumba yako. Cha msingi unatakiwa kujua nyoka hung'ata pale anapotishiwa maisha yake kama haogopeshwi na chochote Basi huwa poa sana....
Ushauri: Usiwauwe waache waishi wawe wakubwa uweze kuwaona vizuri ili usije kuwakanyaga.
Kama utamuua mmoja iwe kwa ajili ya kitoweo na si vinginevyo.....
Ahsante [emoji2960]
Kuandika ni rahisi, subiri uambiwe uyaishi hayo mandishi sasa!!
 
Back
Top Bottom