muhubiri mpya
Member
- Sep 14, 2019
- 20
- 12
Kwa tigo, voda unatakiwa upaleke tin no, leseni na kitambulisho chako lkn kwa airtel na mitandao mingine ongezea na barua kutok serikali ya mtaa kwisha kazi ndani ya wiki tatu unaline zako zote? Una swali lingine?Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.
Asanteni sana.
Kupata laini za uwakalaWakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.
Asanteni sana.
Kununua kwa mtu lazima ujiridhishe kama ni mwaminifuWakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.
Asanteni sana.
Nashukuru sana mkuu,nipo Dar je hizo barua napeleka sehemu gani?Kwa tigo, voda unatakiwa upaleke tin no, leseni na kitambulisho chako lkn kwa airtel na mitandao mingine ongezea na barua kutok serikali ya mtaa kwisha kazi ndani ya wiki tatu unaline zako zote? Una swali lingine?
GoodKupata laini za uwakala
1.Uwe na Tin namba
2.Leseni ya biashara
3.Kitambulisho cha uraia (kusajili)
4.Tax clearance
Hizo ndio attachment zinatakiwa uweze kupata leseni
Au tembelea Tigo-shop/Voda shop/Airtel shop/Halo shop zilizo karibu yako kwa maelekezo lakini lazima uwe na vigezo tajwa hapo juu (uwe na biashara halali yenye vigezo)
Hii kazi ni ya Siku moja tena haifikishi hata masaa matatu kwa airtel nenda kwenye airtel shop yao ambayo iko jirani na wewe uhakikishe uwe na tin, leseni ya biashara kitambulisho cha uraia.Nashukuru sana mkuu
Nashukuru sana mkuu,nipo Dar je hizo barua napeleka sehemu gani?
Je ukitaka kuwa wakala wa kusajili line je?Kupata laini za uwakala
1.Uwe na Tin namba
2.Leseni ya biashara
3.Kitambulisho cha uraia (kusajili)
4.Tax clearance
Hizo ndio attachment zinatakiwa uweze kupata leseni
Au tembelea Tigo-shop/Voda shop/Airtel shop/Halo shop zilizo karibu yako kwa maelekezo lakini lazima uwe na vigezo tajwa hapo juu (uwe na biashara halali yenye vigezo)
Hiyo nenda tigo shop /voda shop/halo shop/Airtel shop/ttcl watakupa maelekezo ila nadhani hakuna gharama labda vigezo vyao kama wewe si wakala watakupa utaratibu wakuwa mtu wao kuuza lineJe ukitaka kuwa wakala wa kusajili line je?
nashukuru sana mkuu ndio maana naipenda sana JF na vichwa vyake vyenye madini yasiyo kaukaHii kazi ni ya Siku moja tena haifikishi hata masaa matatu kwa airtel nenda kwenye airtel shop yao ambayo iko jirani na wewe uhakikishe uwe na tin, leseni ya biashara kitambulisho cha uraia ,barua kutoka serikali ya mtaa na passport size picha moja ukitoka hapo nenda makao makuu ya voda wako bagamoyo road acha documents hizo hapo juu kama hazijagongwa mhuri wa mwanasheria watakutoza 15000 kwa ajili ya huduma hiyo ukimaliza voda pitia haloshop ipo mbele ya vodacome kama unaelekea Victoria/ makumbusho acha detail ukimaliza hapo nenda makumbusho tigo shop watakupa no ya wakala mkuu kulingana na unapofanyia biashara yako ukitoka tigo unaingia ttcl wako pale sayansi kijitonyama ukimaliza hapo unarudi hapa zantel wapo shopez napo unaacha detail nadhan kwa Siku utatumia masaaa 2-matatu na hiyo mitandao 6 nadhan ndio inayofanya huduma ya kutoa pesa hapa nchini? Ila kwa taadhari kuwa na angalau balance ya 70000 unapokua unapeleka hizo document maaana chochote kinaweza kutokea
asee hv huu mhuri wa m.sheria n kwa ajili ya nn mana mm sielewag kabisa yaan yule mwanasheria anakuwa upande wangu au upande wa mtandao? yan mm sionagi implication ya mhuri kwny zle formHii kazi ni ya Siku moja tena haifikishi hata masaa matatu kwa airtel nenda kwenye airtel shop yao ambayo iko jirani na wewe uhakikishe uwe na tin, leseni ya biashara kitambulisho cha uraia ,barua kutoka serikali ya mtaa na passport size picha moja ukitoka hapo nenda makao makuu ya voda wako bagamoyo road acha documents hizo hapo juu kama hazijagongwa mhuri wa mwanasheria watakutoza 15000 kwa ajili ya huduma hiyo ukimaliza voda pitia haloshop ipo mbele ya vodacome kama unaelekea Victoria/ makumbusho acha detail ukimaliza hapo nenda makumbusho tigo shop watakupa no ya wakala mkuu kulingana na unapofanyia biashara yako ukitoka tigo unaingia ttcl wako pale sayansi kijitonyama ukimaliza hapo unarudi hapa zantel wapo shopez napo unaacha detail nadhan kwa Siku utatumia masaaa 2-matatu na hiyo mitandao 6 nadhan ndio inayofanya huduma ya kutoa pesa hapa nchini? Ila kwa taadhari kuwa na angalau balance ya 70000 unapokua unapeleka hizo document maaana chochote kinaweza kutokea
hii JF we ione tu yan kuna watu wajuzi wa mambo humu ambao unaweza zunguka dar mzma na usiwapate watu kama hawanashukuru sana mkuu ndio maana naipenda sana JF na vichwa vyake vyenye madini yasiyo kauka
Unaitaji Lain m ninazoGharama zake zkoje kuzipata kila line ya uwakala kwa tigo,voda,airtel na ttcl
Ile ni mkataba baina ya kampuni ya simu na mwenye laini kwa hiyo lazima hayo makubaliano ya shuhudiwe na mwanasheria lakini pakubwa inalinda kampuni mtandao.asee hv huu mhuri wa m.sheria n kwa ajili ya nn mana mm sielewag kabisa yaan yule mwanasheria anakuwa upande wangu au upande wa mtandao? yan mm sionagi implication ya mhuri kwny zle form
Ile ni mkataba baina ya kampuni ya simu na mwenye laini kwa hiyo lazima hayo makubaliano ya shuhudiwe na mwanasheria lakini pakubwa inalinda kampuni mtandao.
What if hio mpesa ndio biashara yako ya kwanza kabisa?Kupata laini za uwakala
1.Uwe na Tin namba
2.Leseni ya biashara
3.Kitambulisho cha uraia (kusajili)
4.Tax clearance
Hizo ndio attachment zinatakiwa uweze kupata leseni
Au tembelea Tigo-shop/Voda shop/Airtel shop/Halo shop zilizo karibu yako kwa maelekezo lakini lazima uwe na vigezo tajwa hapo juu (uwe na biashara halali yenye vigezo)
Mambo na yale yale unaenda tra unawambia unataka kufungua biashara ya uwakala unapewa tax clearance unaenda halmashauri usika unawambia unataka kufungua biashara ya uwakala wanakupa lesen unaenda sehemu husika tigo, voda ,airtel,halotel unawapa document unasubiri lain ukizipata ndio biashara unaanza
Laini ni bure ila ukizifuata unatakiwa kuwa na hela angalau laki tano ili wakuwekee kwenye laini kwa ajili ya kuanza kaziSamahani wakuu, gharama zake zinakuaje kwa line zote I.e M pesa, tigo pesa, halomoney, airtel money na ttcl money?
Sent using Jamii Forums mobile app