Msaada: Namna ya kupata line ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money?

Mambo na yale yale unaenda tra unawambia unataka kufungua biashara ya uwakala unapewa tax clearance unaenda halmashauri usika unawambia unataka kufungua biashara ya uwakala wanakupa lesen unaenda sehemu husika tigo, voda ,airtel,halotel unawapa document unasubiri lain ukizipata ndio biashara unaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia leseni yako iwe imefanya biashara kwa miezi angalau sita... ndo nauliza inakuaje kama mpesa ndo biashara yako ya kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu atusaidie jibu la uyu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
wanatofatiana, tigo laki tano, voda hata laki mbili inatosha, Airtel hata laki mbili inatosha, hii kwa uzoefu hivi karibuni.....maana Mimi ndio nimefatilia hizo laini wiki tatu nyuma kutokea sasa....piaa hizo kianzio inategemea na wakala mkuu utakapoenda kuomba hizo laini....razak kheriii
 
Mtu atusaidie jibu la uyu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hlf kingine ukiwa na laki tano tu unaweza kupata lain zote kwa mfumo huu

Unaenda voda unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda tigo unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda airtel unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa baada ya kupata lain zote unaamua sasa kila lain uweke salio la bei gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ku

[/QUO.
Oooooh
 
Watu kama nyie ndo mnafanya watu waone hii biashara haina maana,sasa akishafanya hivyo je faida inakua ya kwake au??? Kwenye hii biashara mtaji ndo kila kitu ni mtaji ndo utaamua upate nn mwisho wa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo inaitwa kujiongeza.
Nimejifunza kitu kipya kabisa
Hlf kingine ukiwa na laki tano tu unaweza kupata lain zote kwa mfumo huu

Unaenda voda unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda tigo unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda airtel unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa baada ya kupata lain zote unaamua sasa kila lain uweke salio la bei gan

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hlf kingine ukiwa na laki tano tu unaweza kupata lain zote kwa mfumo huu

Unaenda voda unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda tigo unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda airtel unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa baada ya kupata lain zote unaamua sasa kila lain uweke salio la bei gan

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba kumbe line ya uwakala unaweza ukae da ukatoa benk???
 
Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.

Asanteni sana.
Unaweza kupata, kikubwa uwe na kitambulisho cha nida
 
Niko Dodoma. Nilienda hizo sehemu Ijumaa
Airtel
1. Tin 2. Leseni 3. Id 4. Flot 200,000
5. 10,000 Lawyer (3 Weeks)

MPesa
1. Tin 2. Leseni 3. Id 4. Flot 500,000
(4 Weeks)

Halotel
1. Tin 2. Leseni 3. Id 4. Flot 100,000
5. 15,000 Lawyer (3 Days)

Tigo Pesa
1. Tin 2. Lesen 3. Id 4. Flot 400,000 (lakini maongezi yapo pia)
5. 5,000 Lawyer (3 Weeks)

Plus passport pictures
 
Line ya M pesa ntapata wapi wakuu
 
Back
Top Bottom