Laini ni bure ila ukizifuata unatakiwa kuwa na hela angalau laki tano ili wakuwekee kwenye laini kwa ajili ya kuanza kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia leseni yako iwe imefanya biashara kwa miezi angalau sita... ndo nauliza inakuaje kama mpesa ndo biashara yako ya kwanza?Mambo na yale yale unaenda tra unawambia unataka kufungua biashara ya uwakala unapewa tax clearance unaenda halmashauri usika unawambia unataka kufungua biashara ya uwakala wanakupa lesen unaenda sehemu husika tigo, voda ,airtel,halotel unawapa document unasubiri lain ukizipata ndio biashara unaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama leseni ni mpya wana usumbufu wanataka walau iwe na miezi 6 ila kama ni leseni mpya kwaajili ya ya huduma za uwakala, wanakupa.Nimesikia leseni yako iwe imefanya biashara kwa miezi angalau sita... ndo nauliza inakuaje kama mpesa ndo biashara yako ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lata lesen kwa ajili ya uwakala na sio biashara nyingne iyo haina ivyo vigezoNimesikia leseni yako iwe imefanya biashara kwa miezi angalau sita... ndo nauliza inakuaje kama mpesa ndo biashara yako ya kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
wanatofatiana, tigo laki tano, voda hata laki mbili inatosha, Airtel hata laki mbili inatosha, hii kwa uzoefu hivi karibuni.....maana Mimi ndio nimefatilia hizo laini wiki tatu nyuma kutokea sasa....piaa hizo kianzio inategemea na wakala mkuu utakapoenda kuomba hizo laini....razak kheriii
Hlf kingine ukiwa na laki tano tu unaweza kupata lain zote kwa mfumo huu
Hlf kingine ukiwa na laki tano tu unaweza kupata lain zote kwa mfumo huu
Unaenda voda unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda tigo unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda airtel unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa baada ya kupata lain zote unaamua sasa kila lain uweke salio la bei gan
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUO.
Oooooh

Kwamba kumbe line ya uwakala unaweza ukae da ukatoa benk???Hlf kingine ukiwa na laki tano tu unaweza kupata lain zote kwa mfumo huu
Unaenda voda unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda tigo unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa unaenda airtel unaweka laki tano wanakupa lain unaenda bank unaitoa baada ya kupata lain zote unaamua sasa kila lain uweke salio la bei gan
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nasubiri jibu hapa....Kwamba kumbe line ya uwakala unaweza ukaenda ukatoa benk???
Kwamba kumbe line ya uwakala unaweza ukae da ukatoa benk???
Unaweza kupata, kikubwa uwe na kitambulisho cha nidaWakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.
Asanteni sana.
Unaitaji Lain m ninazo