Mianzin Arusha Senior Member Joined Mar 25, 2020 Posts 132 Reaction score 139 Jul 16, 2022 #41 lost cousin said: Na Nmb wakala inakuaje wakuu Click to expand... Ninayo machine ya selecom km hunaitaji
lost cousin said: Na Nmb wakala inakuaje wakuu Click to expand... Ninayo machine ya selecom km hunaitaji
M MOREMI2006 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 551 Reaction score 548 Jul 17, 2022 #42 Mianzin Arusha said: Ninayo machine ya selecom km hunaitaji Click to expand... Imeunganishwa na huduma za nmb Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mianzin Arusha said: Ninayo machine ya selecom km hunaitaji Click to expand... Imeunganishwa na huduma za nmb Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Apr 20, 2024 #43 Mdogo ake the BOLD said: Watu kama nyie ndo mnafanya watu waone hii biashara haina maana,sasa akishafanya hivyo je faida inakua ya kwake au??? Kwenye hii biashara mtaji ndo kila kitu ni mtaji ndo utaamua upate nn mwisho wa mwezi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi ukiamua kuoga si lazima maji uyavulie nguo? Hizi biashara za ujanja ujanja zinaharibu kabisa namna ya kufanya biashara na watu makini. 😢
Mdogo ake the BOLD said: Watu kama nyie ndo mnafanya watu waone hii biashara haina maana,sasa akishafanya hivyo je faida inakua ya kwake au??? Kwenye hii biashara mtaji ndo kila kitu ni mtaji ndo utaamua upate nn mwisho wa mwezi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi ukiamua kuoga si lazima maji uyavulie nguo? Hizi biashara za ujanja ujanja zinaharibu kabisa namna ya kufanya biashara na watu makini. 😢