Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

Newholland 75hp ni mashine ya kazi haswa nina uzoefu nazo nimezitumia sana.
 
Kwanini usiende kwa Sonalink. Naona km wapo vizuri.

Angalizo.
Sina uzoefu nazo katika matumizi ila kwa maelezo ya mafundi.
Mkuu nina uzoefu nazo hizo zote lakini Newholland 75hp ndio the best.
 
Bado hujachukua?, hizi tractor kila eneo na wanayoikubali, kanda ya kati ni swaraj
 
Bado hujachukua?, hizi tractor kila eneo na wanayoikubali, kanda ya kati ni swaraj
Mimi nipo iringa mkuu, plan zangu na bajeti yangu ni mwakani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…