BLACK CHATA
Member
- Sep 11, 2024
- 5
- 4
Newholland 75hp ni mashine ya kazi haswa nina uzoefu nazo nimezitumia sana.Naifutilia hii maada kwa ukaribu sana, maana nimejipanga nami nipate tractor mwezi wa 6 hivi mwakani.
Nimewasiliana na agent wa new Holland, ameniambia 4wd yenye 75hp ni 63M bila jembe wala trela. Ila fundi wangu anasema hiyo ndio chuma ya uhakika zaidi kuliko hizi used.