Kaluluma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 468
- 619
Habari za leo wakuu,
Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu ya kufanya urudishaji wa leseni hiyo.
Nimefuata hatua zote hadi ninapofika sehemu yenye vipengele viwili:
1. Principal Business Licence
2. Subsidiary Business Licence
Hapo ndipo napokwama, wakuu. Mwenye ujuzi wa namna ya kuendelea kutoka hapo, naomba anisaidie kwa maelekezo.
NB: Akaunti ya TAUSI PORTAL ninayo na ipo active.
natumaini nitasaidika katika hilo. natanguliza shukrani