Ukichunguza maneno alio tumia wakati ana toa taarifa yako ina chembe chembe za chuki fulani na dini fulani, eti kafiiri mujahideena nk, hamna gaidi mjinga kiasi hicho akupigie simu mtu asie muamini, eti alikuambia usilimu kwani una speciality gani akugaganie usilimu, kama mmeshidana kwenye mijadala yenu ya imani husitumie kigezo cha ugaidi kupotosha watu.