Msaada namna ya kusimamia tawi la biashara iliyombali km40

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie
Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu vyake,msaada wenu wataalamu wa biashara
 
Kama uko Tanzania na muuzaji ni mswahili mwenzetu, achana na hilo wazo kabisa, utajutia ukiendelea nalo.
 
Bidhaaa anayouza inamfikiaje kwenye kituo chake..
Inatoka kwenye store yako au yeye mwenyewe ndio anaagiza bidhaa kutoka sehemu nyingine
 
Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie
Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu vyake,msaada wenu wataalamu wa biashara
AI kama ChatGPT or Gemini watakusaidia vizuri kuliko binadamu yeyote humu, watumie tafadhari
 
Back
Top Bottom