malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Kama uko Tanzania na muuzaji ni mswahili mwenzetu, achana na hilo wazo kabisa, utajutia ukiendelea nalo.Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie
Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu vyake,msaada wenu wataalamu wa biashara
Mkuu muuzaji atakua mtanzaniaKama uko Tanzania na muuzaji ni mswahili mwenzetu, achana na hilo wazo kabisa, utajutia ukiendelea nalo.
AI kama ChatGPT or Gemini watakusaidia vizuri kuliko binadamu yeyote humu, watumie tafadhariHabar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie
Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu vyake,msaada wenu wataalamu wa biashara