MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
414
Reaction score
481
Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara.

Mtu akinisaidia sitamuacha bure. Nitampa japo pesa ya kifurushi.
 
🌚Tengeneza account nyingine mpya.
🌞Rudi kwenye account yako ya zamani
🌚Nenda kwenye upande wa page yako
🌞Kisha bonyeza settings>page roles>click add person Yani add account hio nyingine mpya uliotengeza then ipe access ya editing
🌚Login kweye account mpya uliyotengeneza
🌞Kisha accept notification ya kua editor kwenye page yako
🤖Boom! Sasa unaweza kuboost Tena page yako kupitia account yako mpya😊
 
Umetisha
 
Back
Top Bottom