Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

KWA SASA NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KAHAMA IWE NA MAJI NA UMEME PIA FENSI IKIWEZEKANA!!,wadau kwa yeyote yule mwenye nayo anijulishe hapa jamvini au ani P.M. Tuwasiliane.Ndo naanza maisha hvo mwenzenu nisaidieni.Mawazo yenu sintoyasahau ktk maisha yangu na ntayafanyia kazi.Thankz
 
na akijaribu tu kuitoa amekwenda,pia atakuwa ameua kiongozi mkubwa tu wabaadaye.km hatasadiki maneno yng ajaribu kulea hy mimba hadi ajifungua aangalie talent ya huyo mtoto tena ni wa kiume au nalo unabisha?Roho wa Mungu awaongoze katika kutatua jambo hili ambalo shetani anataka kuchua nafasi.
 
kaka kila mtoto huja na rizki yake, mimi naona hutakiwi kufikiria suala la dhambi ya kuua kiumbe hicho kwa kutoa mimba hiyo...kumbuka wengine hapa tunatafuta watoto na bado hatujajaaliwa, sasa wewe ukitoa mimba hiyo ni kufuru kwa Mungu wako.
 
kaka kila mtoto huja na rizki yake, mimi naona hutakiwi kufikiria suala la dhambi ya kuua kiumbe hicho kwa kutoa mimba hiyo...kumbuka wengine hapa tunatafuta watoto na bado hatujajaaliwa, sasa wewe ukitoa mimba hiyo ni kufuru kwa Mungu wako.

Thankx jamiif.Good advice nmekupata.
 
dhambi ya kuua hiyo, hicho ndio ninachweza kukwambia kama mnaitaka hiyo dhambi fanyeni abortion na mungu baba aliyembinguni atai'note hyo dhambi.
 
Jamani hebu hili swala lakutoa mimba tuliangalie kwa mapana zaidi nafikiri ifikie wakati iruhusiwe sio dini au Mungu kasema maana huko kwenye chimbuko lenyewe la dini wanatoa

Hivi unamleta kiumbe duniani hana baba huna uhakika atasomaje. mwanafunzi kapewa mimba anasitisha masomo hivi kwanini isiruhusiwe kutoa nafikiri litafanyika kwa usalama zaidi
 
Hauna jinsi zaidi ya kukubali matokeo na kupanga namna ya kulea.Kutokua na kazi sasa haimaanishi hutapata kazi infact kulea mimba si kazi kwa miezi tisa ya mimba hangaika utafute hata kibarua kidogo uandae mazingira ya kupokea huyo malaika atakaezaliwa.Mungu atakusamehe dhambi ya uzinzi kuliko kujiongezea na dhambi ya kuua.
 
Hivi inawezekenaje kufanya ngono na mwanamke au mwanaume asiye mume au mke wako?
 
bINTI WAgeti kali yuko ana ujauzito wa miezi mitatu anahaha anataka nimsaidie kuchomoa mimba ya mitatu,,, maana ana mchumba wake yuko Abu dhabi na amekaribia kurudi nchini sasa anahisi ndoa ndo hivyooooooooooooo tena kitanuka,,,,, anasema hela sio shida kwake yuko radhi kwa bei yoyote i mradi mimba itoke,,,,,,, wadau mi siwezi kabisa


ALIYETAYARI NIMSUKUMIE MZIGO EMAIL ME VIA joykwetu@yahoo.com Fasta maana anataka kesho au kesho kutwa tu iwe imechomolewa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,TANX


tAJA NA bEI KABISA.............................
 
Duh....makubwa haya! Weye ndiye uliyemtia hiyo mimba?
 

Kama kweli huwezi kwa nini unamtafutia daktari? Si umwache ahangaike mwenyewe na mauaji yake?
 
mnaambiwa mfiche siri za wagonjwa,
kama huwezi si umwambie, hivi kweli wewe ni dr. au wichi dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…