dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,483
Hiyo haina tatizo mkuu. wala haihitaji gharama kubwa. wewe unakaa wapi? kama upo dar nipm au umpim figganigga. Ni kazi ya chini ya nusu saa. Karibu sana.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatishaaaa, umefanyaje ukamfahamu kwa hivyo? plse nipe maujanja na mimi!Kwa mujibu wa hii email hapo juu mhusika mkuu ni huyu hapa Annalise Diclofenac | Facebook
bINTI WAgeti kali yuko ana ujauzito wa miezi mitatu anahaha anataka nimsaidie kuchomoa mimba ya mitatu,,, maana ana mchumba wake yuko Abu dhabi na amekaribia kurudi nchini sasa anahisi ndoa ndo hivyooooooooooooo tena kitanuka,,,,, anasema hela sio shida kwake yuko radhi kwa bei yoyote i mradi mimba itoke,,,,,,, wadau mi siwezi kabisa
ALIYETAYARI NIMSUKUMIE MZIGO EMAIL ME VIA joykwetu@yahoo.com Fasta maana anataka kesho au kesho kutwa tu iwe imechomolewa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,TANX
tAJA NA bEI KABISA.............................
mnaambiwa mfiche siri za wagonjwa,
kama huwezi si umwambie, hivi kweli wewe ni dr. au wichi dr.
Hawa ndio mashushu wizara ya Afya na utakuwa umetumwa ww kuwafanyizia madaktari
View attachment 59655
Huyu ni gea Habib, umechakachua!
Mpendwa mimba ya dakika moja ni mototo/kiumbe kamili. Kumbuka wewe ulizaliwa na wazazi wako hawakuangalia kama walikuwa na kazi, heshima kwa wakwe, mali za posa, ndugu, jamaa, nk. walikupokea wakakulea na wakakuleta duniani. Mfanyie mwanao hivyo hivyo na utakuwa na furaha ya kweli maishani. Huyo mototo hahitaji chochote cha maana sasa hivi ila upendo.
Nlimaliza chuo mwaka 2011..takriban mwaka wa tatu cjapata kazi! Nna mtoto wa miaka miwili..ckutarajia kubeba mimba nyingine kwa sasa! Ili niongeze juhud ya kusaka mahela!(kufanya biashara n kutafuta kazi)..mwez ulopita nkagundua nna ujauzito baada ya kupima mkojo..lol nlichanganyikiwa wallah! Ctak mimba coz maisha yangu hayajakaa sawa! Tukashauriana na mume tuitoe! Lkn nafs yangu inakuwa nzito kutoa..japo mtoto mwengine kwa sasa cmuhtaj! Nkahs nkipata ushaur kwa watu na wakitokea watatu tu wakinambia ntoe labda ntafarijika na ntapata nguvu za kutolea lkn ckupaya ushaur huo! Ikabd nibadl mawazo kwamba ctoi hii mimba..baada ya kukaa km wiki moja hv nkapata kazi..dah namshukuru Mungu! Japo nna ka mimba kangu hapa na cjui itakiwaje boss akijua maana hv private coy hazielewek! Bado cjapewa mkataba! Lkn ndugu yangu nmeamin kila mtoto anakuja kwa rizk yake vile Mungu amekupangia! So asitoe hyo mimba amuombe Mungu na maisha yatakuwa mepes na yafuraha zaid ya unavyofkiriaIlikuwa tarehe 13 ya mwezi huu hadi sasa hajapata mp yake imetokea kwa bahati mbaya,je inaweza kutoka kwa kirahisi mapema hii kabla hakijawa kiumbe kamili.Doctor ni njia gani nitumie ili kumnusuru wangu nimpendae?.NB.Kwa wale wanaopenda kujibu kwa matusi sihitaji ni bora wakaendelea na thread zingne na siyo KUNITUKANA.Pliz pliz matusi sitaki nataka USHAURI WAKO TU.ASANTENI
Thankx,jf ndo jibu halis,nimefarijka sana!,what iz the way foward?